CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Walishindwa hata kupaka rangi mpya jamani? Jengo jipya la chama rangi ya zamani!

Anyways, ni jambo la kupongezwa… at last!
Kinyooongeeeeee
 
Nakuona hapo umenga'ngania funguo za geti ili uweke mabenchi yako ya kiwi!
Unatamani upewe kazi ya kulinda maana naona umetuma cv zako hapa
243554600.jpg
 
Mkuu ukiona comment yangu hata usipaniki akili ninazo labda ww uwe na uelewa usiweke hisia kali kwenye vyana hao chadema wakichukua nchi bado ccm itatawala
Akili za kindezi hizo
 
Back
Top Bottom