Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Nyumba ya mwenyekiti!Mimi nimeuliza limekodishwa toka kwa nani, jamaa hawataki kunijibu!
Nyumba ya mwenyekiti!Mimi nimeuliza limekodishwa toka kwa nani, jamaa hawataki kunijibu!
Mi nafikiri ungejibu hoja sio kukashfu wenzako bro.Kajinyonge wewe maana huna faida kwa Taifa wala kwa wazazi wako umelaanika
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.[emoji419][emoji375][emoji1548]Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.
Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.
Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Yaani nimecheka kwa Sauti[emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali ya Jogoo House Magomeni
Hapo tumepigwa 😢😢Nyumba ya mwenyekiti!
Hakuna hoja hapo na wote ninao wajibu Nina wajua nini wanakuwa wamemaanisha mzee.Mi nafikiri ungejibu hoja sio kukashfu wenzako bro.
CHADEMA kwenye suala la Ofisi mnashindwa akili hata na Mwijaku!
Sasa hilo jengo unaona ni design ya Ofisi?!
Mnapenda sana short cuts ambazo ni wrong cuts!
🤣🤣hakuna ofisi hapo ukilinganisha na cdm yenyeweUmeonaeeeeeee,siyo zile za nguvu za watanzania alafu wanasema ni mali ya ccm