CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Mzee ni mali ya cdm 100%
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.

Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.

Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.

Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Sasa tukaligomboe lile bus la Antipas alilozawadiwa tuje tulipaki hapo gereji; au vipi?😎
 
Hongereni sana CHADEMA,KUDOS...sasa nguvu mpeleke kwenye kuanzisha TV na RADIO ya Chama,.maana mnaona kabisa mnavyopewa coverage ndogo na media za sasa
 
Back
Top Bottom