CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Walishindwa hata kupaka rangi mpya jamani? Jengo jipya la chama rangi ya zamani!

Anyways, ni jambo la kupongezwa… at last!
 
Nakuona hapo umenga'ngania funguo za geti ili uweke mabenchi yako ya kiwi!
 
KWANI CCM INA OFISI YA KWAKE? UWE NA AKILI KICHWANI, HAYO NI MAJNGO YA SERIKALI WAKATI WA CHAMA KIMOJ. CHADEMA IKIINGIA AU CHAMA CHOCHOTE CHA MAANA KIKIINGIA MADARAKANI KITARUDISHA MAJENGO YOTE SERIKALINI NA VIWANJA VYOTE.
Mkuu ukiona comment yangu hata usipaniki akili ninazo labda ww uwe na uelewa usiweke hisia kali kwenye vyana hao chadema wakichukua nchi bado ccm itatawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…