CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee wengi huko CCM ndio wamekolea kwenye hii propaganda mfu.
Ishu sio uzee ila uho ni ukweli mkuu kwa akili ya kawaida wewe huoni kule upizani wote vichwa vibovu akili ziro
 
Mam
Tatizo la Samia ni kuamini maendeleo yataletwa na Waarabu.

Maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe kupitia sera bora,uwazi,uwajibikaji na zaidi ya yote uzalendo wa kweli.

CCM ya Samia,Mpango au Mwigulu imekata pumzi haijui wananchi wanataka nini !.Hawajui vipaumbele vya taifa ni nini na kibaya zaidi wanalazimisha vitu ambavyo hata mjinga anafahamu tunaelekea kubaya.
Tuko kwenye globalization mkuu, uwekezaji ni muhimu
 
Katiba mpya inaombwa na wana nchi au chadema? Sidhani kama Chadema inauwezo kwasasa kuendesha kampaini yoyote wakafanikiwa, kutangatanga kwa Dr Slaa kumewakosesha imani kwa wananchi, hamna wakustopisha Raisi wasasa kusimama 2025 na kushinda kwa katiba ya sasa, chadema hapo walipo huo uhuru wanaishi kwa mercy/maridhiaono na CCM.
Chadema kupata katiba mpya hiyo project waikabidhi wananchi itoke kwenye vyama vya siasa, ila kibaya zaidi elite class ya Tanzania ya kuendesha hiyo kampaini ni waoga opportunists/vibarakara na fisadi kwahiyo hiyo katiba mpya ni ngumu kuipata bila utashi wa CCM.
Utashi wa CCM? Hawa hawa Wachovu, wezi na waoga?
Chama cha mapinduzi kijifunze toka Misri, Sudan, Algeria, Ghana nk.
Wananchi wakiamua na hawa wakina Gen Mkunda wakaipenda zaidi nchi yao asubuhi tuu kikiwaka wanapoteana. Hii sio ile TZ ya Nyerere ndio maana sasa mnaona wanasiasa, wanasheria na wanaharakati wanasimama kutoa hoja za kumpinga Rais hadharani bila woga na hata kujibu serikali inakosa hoja
 
Samia ameshajizuia yeye mwenyewe🐒🐒🐒
 
Ishu sio uzee ila uho ni ukweli mkuu kwa akili ya kawaida wewe huoni kule upizani wote vichwa vibovu akili ziro
Hivi kama una akili timamu nipe jina moja tuu unaliona lina uwezo mkubwa kuzidi cream ile ya uongozi ulioko ndani ya vyama vya upinzani? Nitajie mmoja tuu.
Na please usinitajie watendaji wa serikali maana hao hawapo kazini kwa ajili ya chama chochote, taja hao wanasiasa wenu
 
Huyu Mwamba wakati anampinga JPM nilijua anatetea kweli haki. Sikujua Kama alikuwa anatetea tumbo laki. Baada ya Samia kuja na tumbo lake kukaa sawa, haoni Tena amekuwa kipofu. Mimi nasemaga, Watanzania ndiyo sisi. Wote ni wale wale, tunapiga kelele tukiwa na njaa, tukipata fursa wote ni wezi tu!
mwamba ni mdini sana mkuu, mwenyewe ndio nimemgundua sasa.......

alikua hot sana kipindi cha jiwe,
 
Hivi kama una akili timamu nipe jina moja tuu unaliona lina uwezo mkubwa kuzidi cream ile ya uongozi ulioko ndani ya vyama vya upinzani? Nitajie mmoja tuu.
Na please usinitajie watendaji wa serikali maana hao hawapo kazini kwa ajili ya chama chochote, taja hao wanasiasa wenu
Tunaye mpango yupo bushungwq tuna profesa kabudi
 
Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi chaguzi sababu ya Tume ya uchaguzi.

Likewise Kwa CCM pia wanajua ikija katiba mpya itakayotoa Uhuru mkubwa Kwa tume ya uchaguzi uwezekano wa kushindwa uchaguzi asubuhi mapema ni mkubwa sana.

Hivyo kinachotokea kila mara inapokuja "Shinikizo la katiba mpya" kila Mwenyekiti wa CCM huwa anataka zoezi hilo lifanyike second term ya utawala wake ili ku avoid risk ya kushindwa uchaguzi wakati akiwa madarakani, ndo maana JK alijaribu akiwa second term na Samia anaweka mazingira second term yake ndo zoezi lifanyike ili lolote litakalo tokea limkute "Next President"

Kingine makundi mengi yanayodai katiba mpya huwa yanadai Kwa "maslahi binafsi" na hayo maslahi yakipatatikana huwa yananyamaza kiimya kabisa hata kama katiba mpya hakuna, haya tuliona wakati wa Hayati Magufulivwale kina Slaa na wenzake wote hadi wakifika kusema katiba mpya sio "mahitaji" ya sasa simply sababu Rais alikuwa na "maslahi " nao.

Sasa hili zoezi linalo endelea la "zuia Samia 2025" likifanikiwa halafu itokee Rais mwingine kaja mfano "Philip Mpango" au Mwigulu Nchemba, haitawezekana kabisa kwenye fire term yake 2025-2030 aruhusu Ku take "Risk kubwa ya kuleta Katiba Mpya"ambayo inaweza leta "hatari " ya yeye kushindwa uchaguzi unaofata.

Most probably ataruhusu zoezi kuanzia mwaka 2035 ambapo itakuwa second term yake na hakuna risks kwake na wale wote kina Slaa watarudi kiimya kabisa watabaki wachache Sana kuzungumza kuhusu Katiba.

Kwa Sasa Kama tunataka katiba mpya mapema tuombe hili zoezi la zuia Samia 2025 lifeli otherwise tukubali zoezi litaanza 2035 iwapo kina Dr Slaa watafanikiwa "kumuweka mtu wao" mwingine kutoka CCM hapo Ikulu.

Tuombe uhai tuje tuseme nilikuwa siko sahihi.
Udini unakusumbua sana
Jpm alikua mkristo ulimpinga kaja samia muislamu una-msupport

Akija rais mkristo tena utarudi upinzani
 
Maneno tupu hayawezi kusitopisha CCM kuweka mtu wao
Udini unakusumbua sana
Jpm alikua mkristo ulimpinga kaja samia muislamu una-msupport

Akija rais mkristo tena utarudi upinzani
Nikama tu kule zanzibar amekuja rais wa zanzibar huwezi sikia tena mambo ya kujitenga, ila subiri aondoke aje wa huku bara chokochoko zitaanza upya tena
 
Jamaa kapima kaona bora Samia kuliko bandari.

Ila unakosea sana mkuu usiweke tumaini lako kwa mwanadamu.
 
Back
Top Bottom