Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Wewe una hofu kuliko mhusika. Huu ni ugonjwaUnatamani kuhofiwa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una hofu kuliko mhusika. Huu ni ugonjwaUnatamani kuhofiwa!?
Ila Sasa mmeishiwa hoja kabisa yaani kabisa mko empty kichwani Hadi mdomoni.Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi chaguzi sababu ya Tume ya uchaguzi.
Likewise Kwa CCM pia wanajua ikija katiba mpya itakayotoa Uhuru mkubwa Kwa tume ya uchaguzi uwezekano wa kushindwa uchaguzi asubuhi mapema ni mkubwa sana.
Hivyo kinachotokea kila mara inapokuja "Shinikizo la katiba mpya" kila Mwenyekiti wa CCM huwa anataka zoezi hilo lifanyike second term ya utawala wake ili ku avoid risk ya kushindwa uchaguzi wakati akiwa madarakani, ndo maana JK alijaribu akiwa second term na Samia anaweka mazingira second term yake ndo zoezi lifanyike ili lolote litakalo tokea limkute "Next President"
Kingine makundi mengi yanayodai katiba mpya huwa yanadai Kwa "maslahi binafsi" na hayo maslahi yakipatatikana huwa yananyamaza kiimya kabisa hata kama katiba mpya hakuna, haya tuliona wakati wa Hayati Magufulivwale kina Slaa na wenzake wote hadi wakifika kusema katiba mpya sio "mahitaji" ya sasa simply sababu Rais alikuwa na "maslahi " nao.
Sasa hili zoezi linalo endelea la "zuia Samia 2025" likifanikiwa halafu itokee Rais mwingine kaja mfano "Philip Mpango" au Mwigulu Nchemba, haitawezekana kabisa kwenye fire term yake 2025-2030 aruhusu Ku take "Risk kubwa ya kuleta Katiba Mpya"ambayo inaweza leta "hatari " ya yeye kushindwa uchaguzi unaofata.
Most probably ataruhusu zoezi kuanzia mwaka 2035 ambapo itakuwa second term yake na hakuna risks kwake na wale wote kina Slaa watarudi kiimya kabisa watabaki wachache Sana kuzungumza kuhusu Katiba.
Kwa Sasa Kama tunataka katiba mpya mapema tuombe hili zoezi la zuia Samia 2025 lifeli otherwise tukubali zoezi litaanza 2035 iwapo kina Dr Slaa watafanikiwa "kumuweka mtu wao" mwingine kutoka CCM hapo Ikulu.
Tuombe uhai tuje tuseme nilikuwa siko sahihi.
Good analysis, swali langu, kwani Mama Samia akipita 2025 ni nini kitamwiwa kugombea tena 2030? Si ndiyo itakuwa term yake ya pili, hii si bado ya mwendazake?Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi chaguzi sababu ya Tume ya uchaguzi.
Likewise Kwa CCM pia wanajua ikija katiba mpya itakayotoa Uhuru mkubwa Kwa tume ya uchaguzi uwezekano wa kushindwa uchaguzi asubuhi mapema ni mkubwa sana.
Hivyo kinachotokea kila mara inapokuja "Shinikizo la katiba mpya" kila Mwenyekiti wa CCM huwa anataka zoezi hilo lifanyike second term ya utawala wake ili ku avoid risk ya kushindwa uchaguzi wakati akiwa madarakani, ndo maana JK alijaribu akiwa second term na Samia anaweka mazingira second term yake ndo zoezi lifanyike ili lolote litakalo tokea limkute "Next President"
Kingine makundi mengi yanayodai katiba mpya huwa yanadai Kwa "maslahi binafsi" na hayo maslahi yakipatatikana huwa yananyamaza kiimya kabisa hata kama katiba mpya hakuna, haya tuliona wakati wa Hayati Magufulivwale kina Slaa na wenzake wote hadi wakifika kusema katiba mpya sio "mahitaji" ya sasa simply sababu Rais alikuwa na "maslahi " nao.
Sasa hili zoezi linalo endelea la "zuia Samia 2025" likifanikiwa halafu itokee Rais mwingine kaja mfano "Philip Mpango" au Mwigulu Nchemba, haitawezekana kabisa kwenye fire term yake 2025-2030 aruhusu Ku take "Risk kubwa ya kuleta Katiba Mpya"ambayo inaweza leta "hatari " ya yeye kushindwa uchaguzi unaofata.
Most probably ataruhusu zoezi kuanzia mwaka 2035 ambapo itakuwa second term yake na hakuna risks kwake na wale wote kina Slaa watarudi kiimya kabisa watabaki wachache Sana kuzungumza kuhusu Katiba.
Kwa Sasa Kama tunataka katiba mpya mapema tuombe hili zoezi la zuia Samia 2025 lifeli otherwise tukubali zoezi litaanza 2035 iwapo kina Dr Slaa watafanikiwa "kumuweka mtu wao" mwingine kutoka CCM hapo Ikulu.
Tuombe uhai tuje tuseme nilikuwa siko sahihi.
Katiba haimruhusu...Ila angerithi bado miaka miwili angegombea 2030...Good analysis, swali langu, kwani Mama Samia akipita 2025 ni nini kitamwiwa kugombea tena 2030? Si ndiyo itakuwa term yake ya pili, hii si bado ya mwendazake?
Hii clipu aione Chief Hangaya. Huyu Shekhe staokotwa kokobichi.
Mwenyezi Mungu amrehem Sheikh Nyundo:
kabisa tena. Kuliko mfu.Bora umekuwa marehemu
Katiba ya Sasa inashida Gani?Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi chaguzi sababu ya Tume ya uchaguzi.