CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee wengi huko CCM ndio wamekolea kwenye hii propaganda mfu.
Ishu sio uzee ila uho ni ukweli mkuu kwa akili ya kawaida wewe huoni kule upizani wote vichwa vibovu akili ziro
 
Mam
Tuko kwenye globalization mkuu, uwekezaji ni muhimu
 
Utashi wa CCM? Hawa hawa Wachovu, wezi na waoga?
Chama cha mapinduzi kijifunze toka Misri, Sudan, Algeria, Ghana nk.
Wananchi wakiamua na hawa wakina Gen Mkunda wakaipenda zaidi nchi yao asubuhi tuu kikiwaka wanapoteana. Hii sio ile TZ ya Nyerere ndio maana sasa mnaona wanasiasa, wanasheria na wanaharakati wanasimama kutoa hoja za kumpinga Rais hadharani bila woga na hata kujibu serikali inakosa hoja
 
Samia ameshajizuia yeye mwenyewe🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Ishu sio uzee ila uho ni ukweli mkuu kwa akili ya kawaida wewe huoni kule upizani wote vichwa vibovu akili ziro
Hivi kama una akili timamu nipe jina moja tuu unaliona lina uwezo mkubwa kuzidi cream ile ya uongozi ulioko ndani ya vyama vya upinzani? Nitajie mmoja tuu.
Na please usinitajie watendaji wa serikali maana hao hawapo kazini kwa ajili ya chama chochote, taja hao wanasiasa wenu
 
mwamba ni mdini sana mkuu, mwenyewe ndio nimemgundua sasa.......

alikua hot sana kipindi cha jiwe,
 
Tunaye mpango yupo bushungwq tuna profesa kabudi
 
Udini unakusumbua sana
Jpm alikua mkristo ulimpinga kaja samia muislamu una-msupport

Akija rais mkristo tena utarudi upinzani
 
Maneno tupu hayawezi kusitopisha CCM kuweka mtu wao
Udini unakusumbua sana
Jpm alikua mkristo ulimpinga kaja samia muislamu una-msupport

Akija rais mkristo tena utarudi upinzani
Nikama tu kule zanzibar amekuja rais wa zanzibar huwezi sikia tena mambo ya kujitenga, ila subiri aondoke aje wa huku bara chokochoko zitaanza upya tena
 
Jamaa kapima kaona bora Samia kuliko bandari.

Ila unakosea sana mkuu usiweke tumaini lako kwa mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…