CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

Ila Sasa mmeishiwa hoja kabisa yaani kabisa mko empty kichwani Hadi mdomoni.
Mmeanza kuzusha uhuni kama huu kwani CHADEMA ndo waliompeleka Chifu huko Dubai kusaini mikataba ya Kimangungo? Ni lini umemuona Chifu ameambatana na kiongozi yeyote wa CHADEMA kwenda Kwa wajomba zenu.
Mmelikoroga wenyewe na Hakuna anayehitaji hisani ya Katiba mpya wakati nchi inauzwa. Yaani bei ya Katiba mpya ni Bandari zetu zote Hadi Itungi na Kibirizi?
 
Mchango wangu Kwa FaizaFoxy kuwa labda kuna zoezi la kuzuia Samia 2025 umefutwa wote ..
Interesting
 
Good analysis, swali langu, kwani Mama Samia akipita 2025 ni nini kitamwiwa kugombea tena 2030? Si ndiyo itakuwa term yake ya pili, hii si bado ya mwendazake?
 
Good analysis, swali langu, kwani Mama Samia akipita 2025 ni nini kitamwiwa kugombea tena 2030? Si ndiyo itakuwa term yake ya pili, hii si bado ya mwendazake?
Katiba haimruhusu...Ila angerithi bado miaka miwili angegombea 2030...
Ndo maana kuna mtu kasema wanataka kumzuia hata December mwaka huu...ili aje atakae kaa miaka 12...kuna threads moja kuna mtu kaandika anakuja FDR Tanzania atakae tawala miaka 12...isome uelewe...kuna uhuni wanataka kufanya nahisi...
 
Katiba ya Sasa inashida Gani?
 
Kenya ndio upo upinzani huku kwetu tunatwanga maji kwenye kinu.
Upinzani Kenya umefanikisha maandamano yao.
Upinzani muwe serious hii mikutano siyooo kabisaaaa sijui kidigitali mnapoteza muda ni sawa na hadithi njoo utamu kolea….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…