Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Unavyonishangaa ndio mimi navyowashangaa mnaopenda
  • Mpira
  • Pombe
  • Na Club
Hasa hapo kwenye mpira na pombe sijui mnainjoi nini
Sasa kama Mpira huangalii kuna starehe IPI unaipata duniani hapa .hapo bado ujala bia dah kula bia mkuu
 
duh kweli dunia tunapita tufnye wema tu nilimjulia kwenye movie ya avengers jamani mbele yake nyuma yetu
 
dada una umri gani, jamaa ana 43 how come unasema kijana mbichi!
Dude 43 si kijana mbichi? Ujue Michael alifariki akiwa na 60 watu wakalalamika sana "he died young"

Huyu kijana bado mdogo.
 
Angalau watu kama hawa wanaondoka wakiwa wameacha alama isiyofutika duniani.

Ameigiza movies ambazo kwa kiasi kikubwa zimeiinua jamii ya watu weusi na kuwaleta pamoja na kuvunja madaraja kati ya watu weusi waliochukuliwa mateka kwenda marekani na wale waliobaki Afrika.

Alifanya jambo kubwa kwa ajili ya watu wake. Lengo kuu likiwa ni kuifanya dunia kuwa salama kwa kila mmoja.

Huku Tanganyika watu wenye umri wake kama akina January Makamba wako bize wanaiba na kukimbia hovyo na masanduku ya kura na kuleta ghasia.

Kuvaaa vaa tu suti chafu na mamiwani makubwa eti usomi!!!

Jamani, maisha ni mafupi. Tumia kila sekunde kufanya lililo bora.
 
Yes wana superpower wote sijui ningetumia lugha gani au tusema sio Exteme Super Power kama wakina Vision, Captain Marvel, Thor au Wanda yaani Power zao ni ndogo zina action kama binadamu wa kawaida mfano Vaibranium Arm wa Winter Soldier unaongeaza nguvu ya mapigano tu hivyo hivyo Panther na Captain ila ukija kwa watu kama Wanda anaweza pasua kifaru kwa kufinya mikono tu.
 
Hivi mnawezaje kuangalia haya madude .MTU anapigwa risasi hafi?
Huwezi jua uzuri wa Marver Movie endapo utaangalia kama Normal Human ukitaka ujue uzuri wake uangalie kama Marvel Fans (Fan boys)...jukwaani kuna fan boy wawili nawajua Da'Vinci na Tony-stark

Zina storyline yake nzuri na inaitaji ubongo sana kuifatilia kifupi Mbongo anaefatilia Marvel Movies lazima atakuwa Smart tu hata maisha yake yakawaida malachache sana kumkita mbugira wa mtaani anafuatilia Marvel Comics Movie.
 
kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?
asante...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…