Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki chama kilikufa kitambo ,wanaogopa hata kugombea wanaona aibu
Nyie wahuni mpo tuHiki chama kilikufa kitambo ,wanaogopa hata kugombea wanaona aibu
hahahaa CCM wanawakimbia marehemu mpaka wanategua miguu badala ya kuzika maiti za marehemu.Hiki chama kilikufa kitambo ,wanaogopa hata kugombea wanaona aibu
Asante Mkuu Sky Eclat kwa uhamasishaji huu, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa, wameisha amka kutoka, usingizini, sio watu tena wa kupelekwa pele kwa kufuata tuu mkumbo, wameishajua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.
Nani watawapigia kura? Wale ambao wangewapigia kura mliwaambia wasijiandikishe na kwa kweli hawakujiandikisha. Leo ndio mmekumbuka umuhimu!!?? Ahahahahaha!
CCM imeshindwa kuleta nafuu ya maisha ya wananchi kwa karibu miaka 60 , msidanganywe kwamba wataweza kwa miaka mitano .
KAMA KIBABA HAKIKUJAA NDOO HAIWEZI KUJAA
Asante Sky Eclat kwa uhamasishaji, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa wameisha jua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.
P
Vipi wewe utapiga kura? Ulienda kujiandikisha?CCM imeshindwa kuleta nafuu ya maisha ya wananchi kwa karibu miaka 60 , msidanganywe kwamba wataweza kwa miaka mitano .
KAMA KIBABA HAKIKUJAA NDOO HAIWEZI KUJAA