Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

Ila chadema mnasikitisha, nyie nyie muhamasishe wafuasi wenu wasijiandikishe kwenye daftari la wapiga kura ilhali mnajua hakuna njia ya mkato kama hukujiandikisha huwezi kupiga kura then leo same guys mnahamasisha watu kupiga kura! Hivi kweli bado kuna watu wazima ndani ya hiki chama! Mnatia aibu aisee.
 
MTANZANIA ACHANA KABISA NA CCM KATIKA MTAA, KITONGOJI AU KIJIJI ILI KUEPUKA BALAA RUSHWA. OGOPENI CCM KULIKO UKOMA.
 
Pascal Mayalla kama hao nyumb wako hawakujiandikisha na walikuwa wanahamasishana kutojiandikisha sasa nani atawapigia kura? Wewe pekee yako zitatosha?
Si mmesema uandikishaji ni zaidi ya 19m na ni asilimia zaidi ya 90%?
Sasa asilimia 90% ni wanaccm?
Halafu usilojua ni kuwa wanachama wengi wa CCM hawawapi watu wenu wa mtaani kwani wanawajua kwa rushwa na hongo ni kama uji na mgonjwa.
 
Si mmesema uandikishaji ni zaidi ya 19m na ni asilimia zaidi ya 90%?
Sasa asilimia 90% ni wanaccm?
Halafu usilojua ni kuwa wanachama wengi wa CCM hawawapi watu wenu wa mtaani kwani wanawajua kwa rushwa na bongo ni kama uji na mgonjwa.
Endelea kuota mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
"Demokrasia ipo " CCM" ambapo uchaguzi wa mwenyekiti unafanyika bila visasi"
 
Endelea kuota mkuu!
Hebu kubali kuchosha brain yako! Unadhani kwa nini watendaji nchi nzima ni vituko tuu? Kujificha, kutokutoa fomu, figisu figisu kila kona na aibu nyingine?
Mwenye uhakika wa kushinda anahofu ya kitu gani?
Ni kweli CCM yaweza kushinda sehemu nyingi lakini sio kwa heshima ya maamuzi ya wapiga kura Bali uporaji na matukio ya aibu tuu.
 
Asante Mkuu Sky Eclat kwa uhamasishaji huu, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa, wameisha amka kutoka, usingizini, sio watu tena wa kupelekwa pele kwa kufuata tuu jumbo, wameishajua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.

Hata hivyo pamoja na kujua, ukweli kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na mshindi ameisha julikana, uchaguzi ni wa kukamilisha tuu taratibu, lakini bado uhamasishaji kama huu ni muhimu sana kwa sababu angalau mtaambulia ambulia tujikura tuchache, twa kuhalalisha kwa wafadhili wetu Tanzania tuna demokrasia, na kuwa ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki wa kidemokrasia, uliokuwa na ushindani wa kweli

Asante tena kwa uhamasishaji huu.

P
Mkuu leo unaonekana umekata tamaa wkt hauko ulingoni,kwanza huwa siamini kama kuna mtu alieandaliwa wkt mtu huwa anajiandaa lkn haya mengine huwa ni mbinu za kiushindi..laiti kama msingekuwa hamuwakatishi tamaa watu kwani kila mtu anaona na anajua kinachoendelea ktk nchi hiz labda awe mtoto.....
People should find any means to overthrow an existing party......✓
Because while you're thinking of taking over power the same way to the one having the power remaintaining the power
success is failure
 
Safari hii helokpta na ndege za Lowasa haziko hewan kutangaza wagombea chadema safari mtakoma Lowasa ndiye aliwapaisha.Mnaishia internet cafe kutengeneza matangazo

Helicopters zilianza kutumika huko cdm toka Lowassa akiwa gamba, huenda umeanza kujua siasa kipindi cha jiwe. Kura pekee aliyoleta Lowassa cdm ni yake, mke wake na wapambe wachache aliotoka nao ccm. Aliikuta cdm ikiwa imokelea, na sasa kaicha ikiwa inapigwa vita na Magufuli kama kipaombele chake ili kuiua.
 
Asante Mkuu Sky Eclat kwa uhamasishaji huu, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa, wameisha amka kutoka, usingizini, sio watu tena wa kupelekwa pele kwa kufuata tuu mkumbo, wameishajua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.

Hata hivyo pamoja na kujua, ukweli kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na mshindi ameisha julikana, uchaguzi ni wa kukamilisha tuu taratibu, lakini bado uhamasishaji kama huu ni muhimu sana kwa sababu angalau mtaambulia ambulia tujikura tuchache, twa kuhalalisha kwa wafadhili wetu Tanzania tuna demokrasia, na kuwa ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki wa kidemokrasia, uliokuwa na ushindani wa kweli

Asante tena kwa uhamasishaji huu.

P

Kwa taarifa yako watanzania tunaojitambua hakuna atakayejitokeza kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Chini ya awamu hii ya tano box la kura ni sehemu ya kuonea ujinga wa mtu mweusi. Kutaka kudhibitisha watu wanajitambua, subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo kupata kutokea.
 
Mlizuiwa kujiandikisha, asilimia 80 ya waliojiandikisha ni wana ccm msitegemee ushindi sana mtaanza kusema kura zimeibiwa kumbe watu wwnu hawajapiga kura

Asilimia 80 ni ndogo, sema asilimia 200. Tunaojitambua tunaendelea kuhimiza watu kutokujitokeza kupiga kura, na mnaruhusiwa kupika data mpendavyo kama mlivyopika kwenye idadi ya waliojiandikisha.
 
Kwa taarifa yako watanzania tunaojitambua hakuna atakayejitokeza kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Chini ya awamu hii ya tano box la kura ni sehemu ya kuonea ujinga wa mtu mweusi. Kutaka kudhibitisha watu wanajitambua, subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo kupata kutokea.
It doesn't matter watajitokeza wangapi, kwasababu matokeo hayatokani na votes casted but the votes counted, na sikuzote, zisipotosha, zinatosheshwa, at the end of the day, the end result justifies the means and the winner takes it all and the loser standing small, watu wanahamasishwa wasijitokeze, CCM inapata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9%, halafu nyie ndio wa kwanza kulalamika kuwa the election was not free and fair.
P
 
It doesn't matter watajitokeza wangapi, kwasababu matokeo hayatokani na votes casted but the votes counted, na sikuzote, zisipotosha, zinatosheshwa, at the end of the day, the end result justifies the means and the winner takes it all.
P.
Una ushahidi wa unachokisema? Umesahau uliitwa bungeni?? Sasa hutaitwa tena!!
 
Back
Top Bottom