Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

Mwana haramu wewe unawezaje kuwa mwanachama?
Muondoeni kwanza "malkia" mbowe

* Demokrasia ianzie mlangoni kwenu

* Acheni udikteta wa kuibaka demokrasia

* Nafasi ya mwenyekiti iende sasa kwa mtu mwingine
* wabunge viti maalum watoke na kusini pia
Wanachama tufafanuliwe haya kwanza
 
Kumbe wewe ndiye unayekunya hovyo kama bata?

Ikulu si mahali pa kunya hovyo ninyi bata maji
Mkipata hata kiti kimoja ktk ngazi yoyote nakunya mpaka ikulu

Nikishauri wewe bibi ukalale tu

Viva Magufuri, Shime CCM
 
Hana lolote

Alihamasisha watu tusijiandikishe Leo anataka chadema wapigiwe Kura.
Huu ni uwandawazimu wa sisi wapinzani,

Nimekumbuka tu mwaka 2010 jioni baafay ya upigaji Kura vijana walikuwa road wakitangaza wameshinda...huku vidoleni hawana alama ya wino.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hawana alama vidoleni
Inasikitisha kwa kweli
 
It doesn't matter watajitokeza wangapi, kwasababu matokeo hayatokani na votes casted but the votes counted, na sikuzote, zisipotosha, zinatosheshwa, at the end of the day, the end result justifies the means and the winner takes it all and the loser standing small, watu wanahamasishwa wasijitokeze, CCM inapata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9%, halafu nyie ndio wa kwanza kulalamika kuwa the election was not free and fair.
P
P.

Kutokushiriki uchaguzi ni mbinu nzuri na salama, hatujali ccm kujitangaza washindi bali hatuko tayari kushiriki uhuni wa kitoto. Kwanza tunaharamisha zoezi la kupiga kura, ili tutafute plan B ya kupata viongozi kwa ridhaa ya umma. Watapika data wapendavyo hilo hatuna shida nalo maana sasa kupika data ni kawaida, ila umma utachukua hatua hata kama sio leo basi ni kesho. Tunatengeneza mazingira ya serekali iliyopo kisheria lakini isiyo na uhalali wa umma.

Kwa hiyo kuliko kuendelea kuacha watu waumizwe na kupotezewa muda wao kupanga mistari, kisha matokeo kutangazwa kinyume na matakwa ya wengi, ni bora kuacha goli wazi, huko mbeleni tutapata njia nzuri tu ya kupata viongozi wenye uhalali wa umma. Kwa hiyo ccm isijitangaze kushinda kwa aslimia 99.9, bali wajitangaze wameshinda kwa asilimia 1,000. Ila ukweli utabaki hawana uhalali wa umma.

Namshangaa mwanacdm yoyote anayehamasisha watu wakapige kura kwenye mechi iliyopangwa matokeo. Maamuzi tuliyofikia hatujayafikia kwa bahati mbaya, na hayawezi kubadilishwa na kiongozi yoyote, awe wa cdm, ccm au hata kiongozi wa dini. Kwetu kupiga kura kwenye zoezi lililojaa uhuni wa kitoto ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Una ushahidi wa unachokisema? Umesahau uliitwa bungeni?? Sasa hutaitwa tena!!
Sio kila kitu ni mpaka ushahidi, mimi ni trend reader vizuri, na nimeishawasomea watu trends za matokeo ya uchaguzi tena sio huu tuu wa serikali za mitaa, hadi uchaguzi Mkuu wa 2020, matokeo ni haya...



P
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Una ushahidi wa unachokisema? Umesahau uliitwa bungeni?? Sasa hutaitwa tena!!

Alichokisema hajakisema kwa bahati mbaya bali ndio ukweli. Mnaweza kumuita bungeni hata ikulu mkipenda, sana sana ataishia kukanusha kauli yake na huenda kuomba msamaha, lakini ukweli wa alichokisema utabaki palepale. Mtu mwenye mtindio wa akili au anayeishi kwa kufaidika na hizo hujuma za uchaguzi ndio atashiriki huo upigaji kura. Lakini watu wote tunaojitambua tumeshaharimisha hilo zoezi, kwetu ni zoezi najisi kama najisi nyingine.
 
Mkuu leo unaonekana umekata tamaa wkt hauko ulingoni,kwanza huwa siamini kama kuna mtu alieandaliwa wkt mtu huwa anajiandaa lkn haya mengine huwa ni mbinu za kiushindi..laiti kama msingekuwa hamuwakatishi tamaa watu kwani kila mtu anaona na anajua kinachoendelea ktk nchi hiz labda awe mtoto.....
People should find any means to overthrow an existing party......✓
Because while you're thinking of taking over power the same way to the one having the power remaintaining the power
success is failure
Kwa kweli ni chama ambacho kimekomaa kidemokrasia ambacho hakuna kuchaguacgagua mwenyekiti labda afe ndiyo uchaguzi ufanyike.
 
chadema bado ipo?

Sio kwamba ipo tu, bali itaendelea kuwepo, sana sana hairuhusiwi kufanya siasa ila sio kutokuwepo. Na hata anayetumia muda wake kuiua ataishia kuua jina lakini hana uwezo wowote wa kulazimisha ccm kupendwa.
 
Kutokushiriki uchaguzi ni hatuko tayari kushiriki uhuni wa kitoto. Kwanza tunaharamisha zoezi la kupiga kura, ili tutafute plan B ya umma utachukua hatua hata kama sio leo basi ni kesho.

Namshangaa mwanacdm yoyote anayehamasisha watu wakapige kura kwenye mechi iliyopangwa matokeo. Maamuzi tuliyofikia hatujayafikia kwa bahati mbaya, na hayawezi kubadilishwa na kiongozi yoyote, awe wa cdm, ccm au hata kiongozi wa dini.
Basi mtasubiri sana.

Mazishi rasmi ni 2020,

Wataka maendeleo ya kweli wanalijua hili


P
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sky Eclat, tatizo ni sequence mbovu ya mambo.
Umefanikisha zoezi la kushawishi watu wasijiandikishe halafu unarudi kuwaomba wakupigie kura.
Ni sawa na kuingia chooni, unaanza kuchamba sana eneo nyeti halafu ndio unakata gogo, unatoka zako.
 
Basi mtasubiri sana.

Mazishi rasmi ni 2020,

Wataka maendeleo ya kweli wanalijua hili


P

Sio tutasubiri sana, bali tumeshasubiri sana, sasa ni wakati wa kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kwenye hili hatusubiri ushawishi wa chama chochote cha siasa bali ni umma wenyewe. Nadhani umeona hata kutokujiandikisha kwenye kura, ni umma uliamua wenyewe bila ushawishi wa chama chochote cha siasa. Nyie ambao mko kwenye ufalme hatuna tatizo na nyie maana mnapigania mlo, na wala hatungoji ushawishi wenu, kuleni na kusaza lakini hatuna muda wa kushiriki chaguzi za kishenzi.
 
Helicopters zilianza kutumika huko cdm toka Lowassa akiwa gamba, huenda umeanza kujua siasa kipindi cha jiwe. Kura pekee aliyoleta Lowassa cdm ni yake, mke wake na wapambe wachache aliotoka nao ccm. Aliikuta cdm ikiwa imokelea, na sasa kaicha ikiwa inapigwa vita na Magufuli kama kipaombele chake ili kuiua.
Helikopta za kabla zilikuwa za dk.Slaa na wafadhili wake wazungu ambao baada ya kuondoka hazipo za dk slaa Wala za Lowasa na Mbowe hana wafadhili wenye helikopta za kumpa wawe wa ndani au nje
 
Asante Mkuu Sky Eclat kwa uhamasishaji huu, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa, wameisha amka kutoka, usingizini, sio watu tena wa kupelekwa pele kwa kufuata tuu mkumbo, wameishajua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.

Hata hivyo pamoja na kujua, ukweli kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na mshindi ameisha julikana, uchaguzi ni wa kukamilisha tuu taratibu, lakini bado uhamasishaji kama huu ni muhimu sana kwa sababu angalau mtaambulia ambulia tujikura tuchache, twa kuhalalisha kwa wafadhili wetu Tanzania tuna demokrasia, na kuwa ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki wa kidemokrasia, uliokuwa na ushindani wa kweli

Asante tena kwa uhamasishaji huu.

P
umeandika kama mwanafunzi wa drs la 5, ila daaah!
 
Back
Top Bottom