Nimejaribu kufuatilia kwa watoto wangu,naona kuna kaukweli hapo,umri wa mama na miezi kwenye kalenda kweli inaonesha B, B. Ngoja niifuatilie naweza kupata G maana nilikuwa nawaza sana naweza kutafuta wa mwisho awe tena B jinsia moja hii kama hainogi.
ubongo kidsUongo Mtupu!
Nimepata mkuuMkuu Imekuja Kweli Hujaeleweka Ina Maana Umeshapata??