MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Nimejaribu kufuatilia kwa watoto wangu,naona kuna kaukweli hapo,umri wa mama na miezi kwenye kalenda kweli inaonesha B, B. Ngoja niifuatilie naweza kupata G maana nilikuwa nawaza sana naweza kutafuta wa mwisho awe tena B jinsia moja hii kama hainogi.
mi mweyewe nina B tupu nilipata miscarriegies twins nao B TUPUU,,na kiu na G had nadata aic ila ndo hvyo tena