CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

Nami nitashiriki. Hayo ndo maendeleo. Napendekeza yafuatayo agendani:

1. Kulima mashamba kwa pamoja sehemu moja mfano kila mtu ekari 50. watu 50 watapata huduma vizuri na kutafuta soko kwa pamoja baada ya kuchagua zao. Yaani tuuze kabla hatujalima. Hii itawasaidiwa wasio na muda wa kwenda shamba. Tutawalimia kwani dhana na miundombinu kwa pamoja ni rahisi.
2. Tufanye kilimo biashara, yaani mazao yetu yatengenezwe, mfao, unga, juisi, au mafuta ya alizeti.
3. Wana JF Tuwe soko la kwanza. Kabla hatujaingia soko la tanzania au la afrika mashariki tuuziane na kununuliana kwanza sisi kwa sisi
 

Good idea,

Kanyagio mwongeze Tito ktk orodha.
 
wakubwa nimefanya update kwenye original post. so naomba usome hapo juu upate update!!!
 
Wakuu Muishi Milele.............
Nathibitisha kuhudhuria kwa mapenzi ya Maulana
 
Mkuu kanyagio wajumbe wangu wanahitaji namba zako za kutumia pesa ili wakurushie huo mchango mkuu pole na shuhguli
 
I will be there inshaalah. thanks kanyagio
 
Nyu Bi Bo Mbiiiii kabisa aluuu.... :clap2:....kibarua kinabana, muda haueleweki....hamna uwezekanano mtu kuhudhuria siku hiyo hata kama haja-confirm?!:twitch:
 
Nyu Bi Bo Mbiiiii kabisa aluuu.... :clap2:....kibarua kinabana, muda haueleweki....hamna uwezekanano mtu kuhudhuria siku hiyo hata kama haja-confirm?!:twitch:

ni vema ku-confirm mapema.. utahudhuria?

Je unaposema muda haueleweki unamaanisha nini? muda ni kuanzia saa 8 kamili mchana na kuendelea.
 
wakubwa nimefanya update kwenye original post. so naomba usome hapo juu upate update!!!

Kanyagio,
Nimeku-pm tangu saa nane mchana niki-confirm ushiriki but sijioni kwenye list (Malila shahidi yangu).

Pamoja sana!
 
Kanyagio,
Nimeku-pm tangu saa nane mchana niki-confirm ushiriki but sijioni kwenye list (Malila shahidi yangu).

Pamoja sana!

Kweli mdau,naamini kanyagio kapitiwa tu,ila ni vizuri kufuatilia tena,na mimi nitamshitua.
 
HTML:
Ebwana huyo kanyagio inabidi amuachi huyo mshikaji kwenye madigadi ili aweze kuwatumikia na nyiyi lakini anashindwa labda anogopa watachakahua hilo shamba lake[[quote="tz_investor, post: 1556974"][SIZE=4][COLOR=blue]Kanyagio,[/COLOR][/SIZE][/QUOTE]
[SIZE=4][COLOR=blue]Nimeku-pm tangu saa nane mchana niki-confirm ushiriki but sijioni kwenye list (Malila shahidi yangu).[/COLOR][/SIZE]
 
[SIZE=4][COLOR=blue]Pamoja sana![/COLOR][/SIZE][/QUOTE]
 
jamani confirmation za kutuma pesa vipi,sijaona namba,
kanyagio,nina wageni wawili,hawajaconfirm kwa kutoa elf 15.nitumie namba ya mpesa ili niweze kuwakaribisha rasmi.
By the way sijawahi kuona watu wanaomba kuchangia 🙂 inanikumbusha tangazo la Masawe na mchango wa harusi kumbe ni Bima ya Afya/NSSF
 
Mkuu Kanyagio; Pole kwa majukumu, ni matumaini yangu kwamba muda si mrefu utatupatia namba itakayowezesha wadau kufanya confirmation kwa malipo.

Wadau; mnaonaje kama tutamwalika JF Founder au mmojawao kushiriki CHAI DAY ili waendelee kuona matunda ya kazi njema waliyoanzisha, kwani kupitia JF yote haya yanatendeka.
 
Wakuu, nitashindwa kuhudhuria kwa kuwa niko mbali na Dar. Hata hivyo naunga mkono hoja. Ingawa sitohudhuria, naomba namba ya voda ili nichangie angalau sh.10,000/= kwa M-pesa, inaweza kusaidia kwa emergencies. Ningeshauri kwa wale ambao hawataweza kuhudhuria lakini wanaikubali hoja, wachangie hata kwa kiasi kidogo tu ili tuongeze thamani ya umoja wa JF (mtazamo wangu).
Thanks Kanyagio, Malila na wote waliohusika na initiative hii.
Idumu JF!
 
Safi Sana,Thats the spirit 🙂
 

Kwanza asante sana mkuu kwa moyo huo,
Pili, mimi naamini tutachukua minutes za mkutano,kisha tutazirudisha hapa jamvini ili mliokosa fursa hii musome na kuwa updated na kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…