Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya cdf muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.

Sasa wewe lala upitwe!
hapa gheto karibu makao makuu ya baba hidaya ( msubiria kifungo cha rushwa na ufisadi ) kumekuwa na heka heka na ving'ora vya kushato.. heka hekaa mwanzo mwisho..

Kizimukaz out
 
Tatizo jeshi limejazwa uvccm haya yanayotokea ni athari zake,badala ya kulinda wananchi jeshi limekuwa linalinda mafisadi,majambaz,watekaji,wauwaji mpka sasa nchi ishafitinika hii
Very true
 
Back
Top Bottom