Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya cdf muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.

Sasa wewe lala upitwe!

1759612092549.jpg

1759609622827.jpg
 
Mnawapa kazi mods kufuta na kuunganisha threads zisizo na ithibati kama hizi.

Mtu analeta mada yupo zake Namasakata hajui hata CDF anaishi wapi!
 
Moods anaumganishaje thread wakati alifungiwa JF.
Kwani huko kwenu JF inapatikana? Huyo Mod si alitii agizo na wafanyakazi wake wote wakato na kufunga ofisi na kuelekea Tunduma kulima mahindi
 
BREAKING: Baada ya kapteni Tesha kuongea na Watanzania, viongozi waandamizi wa CCM wanapanga kufanya kikao cha Dharura usiku wa leo na Rais Samia. Walioitwa hawajui ajenda ni nini. Kuna ndege na Helicopters zinatafutwa kuileta Secretariet ya CCM pamoja usiku wa leo. Tunafatilia…
 
Hata sasa tumelala na tumeamka Alhamdulillah hayo Magari yako wapi
😀😀 magari mengi mabarabarani mkuu, au unauliza magari yapi? Hii njia ya Kilwa road imejaa Malori kibao na hayatembei kusababisha foleni kabisa
 
BREAKING: Baada ya kapteni Tesha kuongea na Watanzania, viongozi waandamizi wa CCM wanapanga kufanya kikao cha Dharura usiku wa leo na Rais Samia. Walioitwa hawajui ajenda ni nini. Kuna ndege na Helicopters zinatafutwa kuileta Secretariet ya CCM pamoja usiku wa leo. Tunafatilia…
Wewe ni member muhimu hapa JF ujue! Matumaini yetu ni kwako mkuu!
 
Back
Top Bottom