Chakii amefiwa na dada yake

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
7,137
Reaction score
4,134
Habari za mapumziko wana MMU!!

Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.

Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.

=======================================

Habari za mapumziko wana MMU!!

Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.

Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
 
chakii pole sana kwa msiba mkuu!!!

Mungu awatie faraja katika kipindi hiki!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole Sana Mkuu chakii Mungu Akutie Nguvu Sana....Amen
 
Last edited by a moderator:
RİP dada.

Pole chakii na wafiwa wote
 
Nikupe pole sana mkuu chakii,hasa ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi kumpoteza mpendwa wenu.
 
Poleni sana wote mliofiwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Poleni sana wote mliofikwa na msiba kazi ya Mungu haina makosa
 
Mbona mfiwa hana habari ya msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…