Mbona mfiwa hana habari ya msiba.
Kwani kafanyaje hadi unajua ana taarifaUlitaka afanyaje ndo ujue ana taarifa labda.
Mbona mfiwa hana habari ya msiba.
Ni kweli nimefiwa kama mkuu Ennie alivyowasilisha taarifa hii hapa MMU.
Msiba umetokea asubuhi ya leo, dada yetu mpendwa alilazwa hospitalini kama wiki moja hivi ndipo MUNGU akaamua kumchukua asubuhi ya leo.
Wakuu nimezipokea kwa moyo wa unyenyekevu pole zenu, hakika nimepata Faraja kubwa.
Msiba upo Machame.

Machame sehemu gani mkuu pole sana