Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Imenikumbusha primary bungo la njano halafu chumvi na pilipili kibao. Ukimeza tunda saa ya haja kubwa zinatoka nzima nzimaπ€£Juzi nimepita mitaa flan nimekuta wanauza vibungo nikanunua nikamuambia aweke na chumvi nyingi sana π
Nmesoma vbaya bhnUkawa unatia kidole, unatoa unalamba π€π€£
Majani ya maharage yanaliwa mkuu?Ha ha ha ha ha ha ha
Mimi ugali kwa majani ya maboga yaliyowekwa karanga au unga wa mbegu za maboga au majani ya maharage yaliyowekwa karanga sitaweza acha kula kabisa.
Ndio bungo linavyoliwa mkuuNmesoma vbaya bhn
Ulikuwa unazitoa nzima nzima π€£π πImenikumbusha primary bungo la njano halafu chumvi na pilipili kibao. Ukimeza tunda saa ya haja kubwa zinatoka nzima nzimaπ€£
Ujaishi mbeyaMajani ya maharage yanaliwa mkuu?
Ya maboga najua
Iliyopevuka 18+π€£π€£ haina jela hiyo.Utafungwa mwanafyaleπ
nakazia hapa.Wali maharage na kachumbari
Mlenda ni mzuri kwa afya shem darling..Hatari sana shemeji
pole sana mkuuNajiskia hovyo sana wanangu mniombee
Full utelezi sio π€π€£Mlenda ni mzuri kwa afya shem darling..
Kitu cha twita πnakazia hapa.
Asante hii hali tete mwili umechacha mnopole sana mkuu
Unakuta joto ni ya incubatorIliyopevuka 18+π€£π€£ haina jela hiyo.
Tena ukute kienyeji ya uswazi ina shanga mpaka kifuani.
Mungu akuafu na kukupa nafuu.Najiskia hovyo sana wanangu mniombee
AminaMungu akuafu na kukupa nafuu.
Kama kawaida nikakaa pembeni ni mwendo wa kutia midole tuu ππUkawa unatia kidole, unatoa unalamba π€π€£
Ukienda kizembe tako tatu tu wazungu hao. Na kwa kushika mimba sasa, kama smaku na chumaUnakuta joto ni ya incubator