Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sema huko ulipokula ndio wachafu mbona huku kwetu mamantilie wasafi bwana. Na misosi misafi wanatujali na vitambi vimetutokaSina mengi wakuu nawasalimu.
Hii misosi ya mama nitilie ni kwaajili ya maskini.
Mabenchi machafu
Viti vimevunjika
Meza chafu, inzi wakutosha
Msosi sometimes unanuka moshi
Wahudumu wachafu
Customer care iko chini.
Kula kwa mama nitilie ni umaskini au labda ukumbwe na dharuura.
Mahotelini chakula ovyo vinatunzwa kwenye mafriziLakini vinatutoa shavu mkuu Tena unapimiwa mzigo wakutosha Mboga Kama zoote yaani tunafaidi Sana
Ila ukienda kwenye hotel zenye hadhi msosi unapewa Kama umeomba Tena ukute hakijaiva vzr na wananyodo Sana wahudumu wahiyo mihotel
Hapo unaweza kuta umeshindia kipande cha Chungwa, wacha ujingaSina mengi wakuu nawasalimu.
Hii misosi ya mama nitilie ni kwaajili ya maskini.
Mabenchi machafu
Viti vimevunjika
Meza chafu, inzi wakutosha
Msosi sometimes unanuka moshi
Wahudumu wachafu
Customer care iko chini.
Kula kwa mama nitilie ni umaskini au labda ukumbwe na dharuura.
Audio...hii I'd yako nyngneHuuu ni ukweli usiopingika mkuu,, Mama ntilie ni huduma kwa ajili ya makapuku, mwenye hela hawezi kula kwa mama ntilie.. Me nayesema hivi ni miongoni mwa mwa makapuku na ndo maana nasupport hv ni kutoka na ushuhuda was wazi kabisa nilionao..
Sisis makapuku pekee ndo tunakula kwa mama ntilie