Chakula cha Mama Ntilie ni kwaajili ya masikini

Mama Ntilie nao wako na classes zao..mimi kuna baadhi ya mama Ntilie huwezi kunilisha chakula chao asee hasa mama Ntilie wa Dodoma ni wachafu hatari.
Ni wa chafu balaa. Majority wana mizigo balaa ila sijui Kama inaoshwa vizur ukichukulia kuna uhaba wa maji.
 
Huo mchele wa 2500/= hapo dar, huku mbeya ni 800! Una lipi la kusema Zaidi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Chakula cha mama ntilie kizuri sana ndio maana hata nguvu za kiume zipo za kutosha maana wanatupa na kikombe cha Alkasusu bure.
 
πš‘πš’πš’ πš”πšžπš”πš˜πš™πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπš•πš’πš™πšŠ πš–πš πš’πšœπš‘πš˜ 𝚠𝚊 πš–πš πšŽπš£πš’ πš‘πšŠπš™πšŠπš—πšŠ.

πš‘πšŠπš’πšžπš™πš˜ πš–πšŠπš–πšŠ πš—'πšπš’πš•πš’πšŽ 𝚠𝚊 πš‘πš’πšŸπš˜.
 
π™·πšŠπš•πš’πšŒπš‘πš˜ πšœπšŽπš–πšŠ πš–πšπš˜πšŠ πš–πšŠπšπšŠ πš—πš’ πšœπšŠπš‘πš’πš‘πš’

πš πšŠπš—πšŠπš˜ πš™πš’πš—πšπšŠ πš πšŠπš™πš’πš—πšπšŽ 𝚝𝚞.

πš–πšŠπš–πšŠ πš—'πšπš’πš•πš’πšŽ πš πšŽπš—πšπš’ 𝚠𝚊𝚘 πš πšŠπšŒπš‘πšŠπšπšž .
 
Chakula cha mama ntilie kimenisaidia sana hasa kipindi nipo chuo ila kuna baadhi ni wachafu. Kuna kipindi flani niliingia mgahawa flani mbezi mwisho nikaagiza chakula wakaniletea na kijiko kichafu! njaa yote iliniisha nikaghairi kula
[emoji1][emoji1] πš πšŽπš—πšπš’ πš—πš’ πš πšŠπšŒπš‘πšŠπšπšž
 
Hivi wakuu yule aliesemaga usafiri wa daladala ni kwa masikini tu sio huyu kweli?
πš–πš”πšžπšž πšœπš’πš˜ πšžπš˜πš—πšπš˜ πšπšŠπš“πš’πš›πš’ πš‘πšŠπš™πšŠπš—πšπš’ πšπšŠπš›πšŠπšπšŠπš›πšŠ πš•πšŠπš‹πšπšŠ πš”πšŠπš–πšŠ πšŠπš—πšŠ πšπš‘πšŠπš›πšžπš•πšŠ.
 
Ni chakula poa kwa mlala hoi Ila tu wazidishe usafi. Nikipiga ugali nyama 1500 ninashiba sana. Jioni ni matunda na kulala. Mama ntilie hoyeeeeee!
 
Mkuu Sandali Ali kama ulitokea huku, hujafanya fair kuwadharau mama ntilie... Unajisahau
 
Mleta mada ulichoandika kwa mtizamo wangu Mimi Ni kweli kabisa. Nakuunga mkono Japo kuwa ni mtoto wa kishua Ila nimeishi Sana maisha ya uhalisia na nimebobea kwenye maswala ya kijamii.

Inahitaji kutafakari kidogo kabla ya kupiga na haswa uwe umewahi kula kwa huyo Mama ntilie haswa wa Usiku.

Pale unapoagiza ugali wa hamira kizani huwa hawaweki taa. Jibu utalipata lengo siyo kuwaponda maskini Ila lengo ni kuuchukia UMASKINI. UMASKINI ni Janga ,Tuuchukie UMASKINI, MASKINI Hana rafiki wa kudumu. UMASKINI siyo Joho la Ufahari.
 
Mnachopewa ni unbalanced diet, ni bora tumbo lijae. Mahoteli makubwa unapewa balanced diet ili kila kona ya mwili wako ifikiwe na necessary nutrients.
unalisha samaki alikaa miexi 6 !!! shtuka
 
Uchumi wa kati wa chini ndio huo
 
Mama Ntilie

.............tatizo ni uchafu.....uchafu .......uchafu!!
 
Umasikini ni mtaji wa wanasiasa wa chama tawala nchin Tanzania
 
Omba usipigwe kofi Mungu!!
 
Ndipo tunapokulaga mbona

Fresh tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…