Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

nyama ya nyoka mkubwa siwez rudia,inakuwa kama inakereketa kwenye koo sasa sijui ni kwa sababu ya wingi wa sumu
 
Kuna siku nikiwa uarabuni nilikula kiwi.
Wenyeji wangu wanadai KiWI inapatikana hata Tanzania lakini hatuuzi nje.
 
Kuna siku nikiwa uarabuni nilikula kiwi.
Wenyeji wangu wanadai KiWI inapatikana hata Tanzania lakini hatuuzi nje.
Kiwi mnyama au??? Si ndege ni ntamu eehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…