King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ooh sawa
Mimi jamii yote ya maharage naipenda sababu ya nazi otherwise sitamani hata .
Aliyegundua nazi ajengewe sanamu maana wali nazi au mboga nazi combo yake inakuwa hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh sawa
Mimi jamii yote ya maharage naipenda sababu ya nazi otherwise sitamani hata .
Kweli kabisa ... Nazi inafanya mboga kuwa shatashata .. hapa nimetamani sangara aliyewekwa naziAliyegundua nazi ajengewe sanamu maana wali nazi au mboga nazi combo yake inakuwa hatari.
Nyama ya nyoka????nyama ya nyoka mkubwa siwez rudia,inakuwa kama inakereketa kwenye koo sasa sijui ni kwa sababu ya wingi wa sumu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu kitu tamu sana hiiSijui soseji,,
Aisee!! nyoka? Ni aina gani ya nyoka na mlimpikajenyama ya nyoka mkubwa siwez rudia,inakuwa kama inakereketa kwenye koo sasa sijui ni kwa sababu ya wingi wa sumu
Atakuwa mTz mwenye asili ya China huyu[emoji28]Nyama ya nyoka????
Tafuta sehemu pazuri wanapoandaliwa vyema ujaribu kuonja huenda taste yake isiwe kama unavyo dhaniYaani nachukia pweza, sijui ngisi, sijawahi kula ila nikiwaona nahisi kutapika
Hapana, sitaki kabisa hata kuonjaTafuta sehemu pazuri wanapoandaliwa vyema ujaribu kuonja huenda taste yake isiwe kama unavyo dhani
Haya, huku watu wameonja hadi nyoka[emoji28][emoji28]Hapana, sitaki kabisa hata kuonja
Ndio inapikwaje hiyoBokoboko sitamanii tena
Kiwi mnyama au??? Si ndege ni ntamu eeheKuna siku nikiwa uarabuni nilikula kiwi.
Wenyeji wangu wanadai KiWI inapatikana hata Tanzania lakini hatuuzi nje.