[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]nyama ya nyoka mkubwa siwez rudia,inakuwa kama inakereketa kwenye koo sasa sijui ni kwa sababu ya wingi wa sumu
Choroko nilipata shida sana kuzimeza na nilikua ugenini
Chakula cha Wahabeshi kinaitwa Injera na sio anjeroVipo, loshoro chakula cha wamasai mahindi ya kande wana mix na mtindi, ngararimo ni makande ya uchagani mahindi mazima + maharage wanapika na magadi hayo mahindi, anjero ni chapati za maji za wasomali au ethiopian
Unazingua mwamba, chakula kizuri Sana hicho tena ukikuta wamechanganya na viazi, nyama utafurahi.Hakuna chakula sipendi duniani Kama ndizi.
Chakula kizuri Sana hicho ukikuta kimepikwa vizuri, tena ni kizuri kwa wenye matatizo ya joint za miguu.Mlenda na bamia
Kunde, choroko, njugumawe, maharage ni vyakula vitamu mno vikipata mpishi mzuri na vina faida nzuri mno mwilini.Njugumawe wakati nakuwa kama imepikwa ilikuwa nakula basi tu ili nisife ila sahivi naichakata vibaya mno. (Njugu mawe kwa ubwabwa)
Kunde na choroko sipendi hata kuviona
Choroko nazi kwa Wali nazi kuwe na rosti flani hivi pembeni,Kunde, choroko, njugumawe, maharage ni vyakula vitamu mno vikipata mpishi mzuri na vina faida nzuri mno mwilini.
Hivyo nikipata na wali, nafurahia huo mlo
Nilionja ugoro hadi leo sitamani kabisa hata harufu yake
Mara ya kwanza kuona mlenda nilidhani ni Gundi ya maji.
Uyoga, ming'oko
Panya
Ugali wa udaga wa mwanza nilipata shida Sana kumeza na nilikuwa ugenini