Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Kisusio nilionja nikiwa Arusha, sina hamu tena
Mimi pia imenishinda.
First day nilihisi vimaini sijui mapupu.

Nilikuwa na njaa nikavamia.

Halooo nilitema.

Na sijaonja tena mpaka leo.
 
Naona umekuwa mshenga.
Umuambie kabisa nina mtoto anayesoma shule.

Na asubuhi anataka hela za shule "mbili" [emoji1787]

Atakuwa ameona hiyo.

Jadilini uwe unampa huo mchanganyo.
 
Reactions: amu
Mimi mrenda ni kitu nisichopana nacho
Cookie (Chakula flani cha wacameroon) ukiitazama unaweza dhani ni cake ya birthday lakini taste yake siyo
Ugali wa wa magimbi (nacho chakula cha wacameroon) unavutia machoni ila ladha yake sikuipenda
 
Loshorwa..
Tulienda Moshi kwao na wife,nikapewa hyo kitu..nilipiga vijiko viwili tu nkashindwa endelea yaan
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kabichi ni tamu sana basi tu wengi hawajui kupika.

Nilikua nachukia Kabichi ila sasa natamani kila leo nilile.

Kabichi + wali nazi +maharage nazi + nyama ya kukaanga. Weeeeeee
Kula kabichi na wali tu achana na hivyo vikorombwezo vingne uone cha mtema kuni"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…