Aisee;wanafanya vibaya sana,Utumbo na nyama wapi na wapi!??Utumbo me mwenyewe sili. Wauza butcher wa Arusha wana ustaarabu m'baya sana, ukinunua nyama wanamix na utumbo eti. Me nawaambiaga ni heri uniwekee kilo pungufu kuliko kunichanganyia na hayo mautopolo
Mwanaume .Sijawahi kwanza kuona kwetu nilipozaliwa wamepika tambi au ndizi Kama chakula.Siyapendi hayo matakataka .Jinsia yako tafadhali? Ndizi haina ladha!!! Tambi pia, hii kali
Ni nyama huku kwetuSio aisee na ndiyo maana ukaitwa utumbo
Vipo, loshoro chakula cha wamasai mahindi ya kande wana mix na mtindi, ngararimo ni makande ya uchagani mahindi mazima + maharage wanapika na magadi hayo mahindi, anjero ni chapati za maji za wasomali au ethiopian
NJUGUMAWE
Hii mboga hunilishi hata iweje.
Ni asilimia karibu 99.99 za wauza mabutcher sijui huko machinjioni hali ipoje... Huwa nawamind wanabaki kuniuliza kwani dada umetokea mkoa gani? Nawaambia mikoa yote niliyopita nyama inauzwa kivyake, na utumbo kivyake hizi mixing ndiyo nimezikuta Arusha kwenu.Aisee;wanafanya vibaya sana,Utumbo na nyama wapi na wapi!??
Kwahiyo ni karibia mabutcher yote!??
Mpaka leo sijui ni nani aliyeanzisha kula utumbo wakati nyama ipo.!!
Mara ya kwanza kuona mlenda nilidhani ni Gundi ya maji.Mlenda
Siku ukipika mwenyewe fanya kunikaribisha basi,maana umenitamanisha,huku kwa Malkia hivyo vitu ni nadra sana.Siwezi kula dagaa wa mwanza kama hawana nyanya chungu/ bamia. Na hapo nivipike mwenyewe, mama au mdogo wangu na sio nikute kwa ndugu sijui jirani naonaga kama hawajui kupika ile mixing😛
Chapati za maji (kumimina) mbona hazina shida. We mshamba wa wapi.
Haha me naona watu wengi hapa kinachowazingua ni upishi. Chakula kitakuwa kizuri kama kimepata mpishi haswaa ukitoa vile vyakula vya kukereka na harufu mfano: utumbo, fenesi nkWe mshamba kweli!
Sasa kama huko kwa Malkia nikukaribishe kwa picha au? Sababu kuhudhuria itakuwa ngumuSiku ukipika mwenyewe fanya kunikaribisha basi,maana umenitamanisha,huku kwa Malkia hivyo vitu ni nadra sana.
Unakosa uhondo.Tikiti maji limenishinda. Hata harufu yake siwezi kuvumilia.
Issue ya kuhudhuria ni jukumu langu,kunikaribisha ni uamuzi wako.Sasa kama huko kwa Malkia nikukaribishe kwa picha au? Sababu kuhudhuria itakuwa ngumu
I love wali maharage.... Nipate kiporo Cha wali maharage na chai ya rangi.... Weweeeeh!!... Diet sifanyiiiiBeef lasagne ni utopolo.
Chicken pizza ni takataka!
Wali maharage best food ever
Aiiiii pweza.... Nampendaaa.... Sipendi kumla kwa soup tuNilikunywa supu ya pweza 2012 ila ghafla kichwa kikaanza kuuma, mwili unaisha nguvu, tumbo linaunguruma, jasho linanitoka na kuanza kutapika,
Mpaka leo nikimuona pweza napita kushoto.