Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loshoroo, ngararimo, anjero, nyama ya kondoo, ghee
Hii mboga sijui Ni Nani aligundua na alikua anatafuta nini kwa kweliKabichi...nafa hapo hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenichekesha, utumbo umekufanya nn ndugu yanguMtu yuko serious kbsa anakutuma buchani ukamnunulie utumbo wa ng'ombe
halafu anakwambia eti "huu nikiunga na nazi,utajilamba nakwambia" yaniiii
huo utumbo hata ukatie humo noti za elf kumi kumi upike siliii ng'o,hata harufu staki iskia...
Unakulaje kitu kinahifadhi takataka zote za mwili?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenichekesha, utumbo umekufanya nn ndugu yangu
Mkuu mbona husemi watu wanakula maini ambapo sumu zote zinachujwa na tena ni bei kuliko nyama zote ktk ng'ombe, kila sehemu ya nyama inaladha yake wapo watu wanapenda ladha ya utumbo wengine wanakula hadi kwato[emoji23][emoji23][emoji23]Unakulaje kitu kinahifadhi takataka zote za mwili?
yani nyama zote kuna paja,kidari,kifua,Filet,na sehemu kibao
mtu zote hizo hazioni anakwambia pitia buchani niletee UTUMBO[emoji45]
Maini yanafata ila kwa ng'ombe nyama ghali na sehemu Gharama zaidi niMkuu mbona husemi watu wanakula maini ambapo sumu zote zinachujwa na tena ni bei kuliko nyama zote ktk ng'ombe, kila sehemu ya nyama inaladha yake wapo watu wanapenda ladha ya utumbo wengine wanakula hadi kwato[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Fillet ndio nyama ya wapi hiyo katika ng'ombe sababu nimecheki Fillet it's just boneless meat au kwa kiswahili tunaweza kusema ni minofu hata kwa samaki inaweza tolewa hiyo Fillet. Sasa sijajua wewe mkuu Fillet umemaanisha ni nyama gani ni nundu au..Maini yanafata ila kwa ng'ombe nyama ghali na sehemu Gharama zaidi ni
nyama ya Fillet,ng'ombe mzima anaweza kutoa fillet kilo 3-5 tu na ni nyama
laini yenye ladha kuliko nyama ya sehemu zingine ktk mwili wa ng'ombe,5 star hotel
hutengeneza mishkaki ya Fillet ni mshkaki unaouzwa gharama kuliko hii mishkaki mingine.
sema kuna watu ni kula kula sana kama pumbu tu za ng'ombe/mbuzi zinaliwa,ije kuwa hizo kwato?
yawezekana kuna wajuba kwato kwao wanaona kama crips vile,kama kakau flani ameiziiiing [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fillet ya ng'ombe ni sehemu ambayo ipo ndani ya mbavu ni sehemu ndogo sana yenye nyama ndefu kama kamba nyama ambayo wewe kapuku mwenzangu unaweza usiijue na usiweze iona kwasababu fillet hununuliwa kwenye mahotel makubwa na sehemu wanazopika vitu classic kwa wateja ambao pesa si tatizo kwao.Mkuu Fillet ndio nyama ya wapi hiyo katika ng'ombe sababu nimecheki Fillet it's just boneless meat au kwa kiswahili tunaweza kusema ni minofu hata kwa samaki inaweza tolewa hiyo Fillet. Sasa sijajua wewe mkuu Fillet umemaanisha ni nyama gani ni nundu au..
Shukrani mkuu kwa maelezo yaliyo jitosheleza kabisa with aid of diagrams hapo naomba nikupe marks 95%, hiyo Fillet itabidi niicheki kwenye sehemu classic ama kwenye zile Nyama choma festival maana kwenye hizi hotel zetu za vichochoroni tunachojua ni kongoro tu[emoji23][emoji23][emoji23].Fillet ya ng'ombe ni sehemu ambayo ipo ndani ya mbavu ni sehemu ndogo sana yenye nyama ndefu kama kamba nyama ambayo wewe kapuku mwenzangu unaweza usiijue na usiweze iona kwasababu fillet hununuliwa kwenye mahotel makubwa na sehemu wanazopika vitu classic kwa wateja ambao pesa si tatizo kwao.
Fillet kilo.1 buchani jirani ninaponunua nyama kila siku inauzwa 15,000 sasa piga hesabu hiyo nyama ikitengenezwa mshkaki huo mshkaki utauziwa sh ngapi wewe ili yule mnunua ile fillet nae arudishe hela yake na apate faida Juu?
Hii ndio picha ya ng'ombe na sehemu zake ambapo fillet inapatikana
View attachment 1576566
Hiyo picha ya kwanza
Picha ya pili inayokuonyesha fillet inapopatikana kwenye ng'ombe
View attachment 1576567
ni kasehemu kadogo sana kanakotoa nyama kama kilo 3-5 kwa ng'ombe alienona kweli kweli,Fillet ukiikuta imeandaliwa imekaa mkao wakutumika muonekano wake ndio kama huu hapa chini
View attachment 1576569
huo mzigo hapo ni laini kiasi kwamba hata steki ya kwenye paja au kidari haikuti ulaini wa hiyo nyama,ni nyama ambayo wakati wakutengeneza mishkaki yake inahtaji utaalamu mkubwa sana otherwise unaiharibu inapukutika yote.
achana na steki unazoziona kwenye mapaja,Fillet ni zaidi ya steki sema siku hizi wajanja wamekua wengi,hasa sisi watu wa majikoni majikoni watu wananunua steki ya kawaida STEKI KABISA kisha ili kuilainisha bila viungo wanatumia kitchen hammer,nyama inapibwa pigwa mpk inakoma,ikitoka hapo ukiletewa unaweza hisi ni Fillet (kwa wasio na utaalamu wa fillet) ukala ukasema umekula fillet kumbe umelishwa steki ya kawaida tu.
Ni Hotel kubwa tu ndio wanaopika mishkaki ya fillet ambapo stick ya finyango 3 unauziwa 10,000 - 15,000, can you afford my brazaaaaa?!! if YES (go for it) ni tramu sanaaaaaaa...
mapupu nayaona na kuyasikia tu ila ki ukweli sijuagi hata yana tasteShukrani mkuu kwa maelezo yaliyo jitosheleza kabisa with aid of diagrams hapo naomba nikupe marks 95%, hiyo Fillet itabidi niicheki kwenye sehemu classic ama kwenye zile Nyama choma festival maana kwenye hizi hotel zetu za vichochoroni tunachojua ni kongoro tu[emoji23][emoji23][emoji23].
Na hizi ng'ombe tunazochinja kinyumbani nyumbani nahisi hiyo Fillet tunachanganya tuu humo humo na steki zingine tunachojua ni kutenga maini, moyo na utumbo. Unavyozungumza huo ulaini wa hiyo Fillet linakuja wazo ni kama mapupu vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Sausage.Mambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini chakula hicho kina kushinda kabisa hata kukupelekea kujisikia vibaya.
Mimi miaka ya nyuma nilikuwa nasikiaga kuhusu supu ya kongoro siku na mimi nikaamua nijue ikovipi hiyo supu nikaenda sehemu nzuri tu nikaulizia nikaambiwa ipo basi nikaletewa pale nikaanza kuipiga lakini kidogo tu nilikula kama vipande viwili tu vya ile nyama nikajisikia kuchefuchefu vibaya sana hata hiyo nyama kumeza haimezeki nikaacha supu karibia yote pale hadi leo hii sitaki tena kusikia kuhusu hiyo supu
Nyingine hii ilikuwa ni juisi ile ya rozela nilikuta imetengenezwa sehemu nikanywa glasi moja ilikuwa na ladha nzuri tu lakini baada ya hapo nilijisikia vibaya sana kama kizunguzungu mara kama mwili unataka ku vibrate mara jasho linatoka japo kulikuwa na feni yaani ilikuwa ni shida mpaka leo nikiiona hiyo juisi naipitia mbali kabisa. Hata juisi ya miwa ilinishinda kabisa ni bora nile muwa kama muwa
Vipi kwa upande wenu wadau ni kitu gani ulikula lakini baada ya hapo hutaki tena kukila.
Mrenda kwakweli ulinishindaMambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini chakula hicho kina kushinda kabisa hata kukupelekea kujisikia vibaya.
Mimi miaka ya nyuma nilikuwa nasikiaga kuhusu supu ya kongoro siku na mimi nikaamua nijue ikovipi hiyo supu nikaenda sehemu nzuri tu nikaulizia nikaambiwa ipo basi nikaletewa pale nikaanza kuipiga lakini kidogo tu nilikula kama vipande viwili tu vya ile nyama nikajisikia kuchefuchefu vibaya sana hata hiyo nyama kumeza haimezeki nikaacha supu karibia yote pale hadi leo hii sitaki tena kusikia kuhusu hiyo supu
Nyingine hii ilikuwa ni juisi ile ya rozela nilikuta imetengenezwa sehemu nikanywa glasi moja ilikuwa na ladha nzuri tu lakini baada ya hapo nilijisikia vibaya sana kama kizunguzungu mara kama mwili unataka ku vibrate mara jasho linatoka japo kulikuwa na feni yaani ilikuwa ni shida mpaka leo nikiiona hiyo juisi naipitia mbali kabisa. Hata juisi ya miwa ilinishinda kabisa ni bora nile muwa kama muwa
Vipi kwa upande wenu wadau ni kitu gani ulikula lakini baada ya hapo hutaki tena kukila.
Mkuu nyama ya mamba??...au ni typing error[emoji2962][emoji2962]Mrenda kwakweli ulinishinda
Nya ya mamba japoo tamu ila nikivua picha alivyo mbaya inakata stimu
ndiyomamba wa kufugwaMkuu nyama ya mamba??...au ni typing error[emoji2962][emoji2962]