Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata mimi nimeshangaa kwa kweli[emoji16]Huyo kanishangaza kuhusu hoho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeshangaa kwa kweli[emoji16]Huyo kanishangaza kuhusu hoho.
Macaroni ni upuuzi. Si chakula.Macaroni sijui Kama nitayapenda tena
Ule Mimi naona Ni uchafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Macaroni ni upuuzi. Si chakula.
Njugu mawe kila mtu anazitaja[emoji23][emoji23]Njugu mawe, Makaroni Kambale, Mbaazi na kundee,bila kusahau mchunga
Yani hizo hazina ladha sijui....nilikula utotoni kwa kudoea kwa jirani hadi leo sitamani kuzionaNjugu mawe kila mtu anazitaja[emoji23][emoji23]
Macaroni sijui Kama nitayapenda tena
Hayana Radha kabisa Sasa Ni chakula gani kile[emoji2]hayana radha
Hayana Radha kabisa Sasa Ni chakula gani kile[emoji2]
Niambie lini nikupikie makaroni?kuna mtu aliniletea nilivoyaona nikadhani matamu ila nilivoyaweka mdomoni sikuyapenda kabisa
kingine ni corn flakes nazo hazina radha
Dah! cadey nimemis anjeraaivi we unaakili kweli? Acha kukurupuka mie nazungumzia injera za Ethiopian,Somalian, zina upishi wake bob, sio chapati za maji za kawaida View attachment 1567630
[emoji23][emoji23]Yani hizo hazina ladha sijui....nilikula utotoni kwa kudoea kwa jirani hadi leo sitamani kuziona
Niambie lini nikupikie makaroni?
Bimkubwa wangu huwa anaipatia hyo kitu..inakua kama imeiva sana inaungua ungua hiv.na nyanya nying inakua kama na sukar flan aisee ni tamu sanaaPoleni aiseee. Hapa nishatamani ni vile sokoni mbali
Mkuu west africa kule mlenda ndo kila kitu....wanachanganya na samak roast.nyama roaast.kuku...inakua hatar...nilikua nakula sana kwenye migahawa ya wa west africa...londonNaona unaendelea kuukonga moyo wangu. Udenda tayari hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingine huwa tunashindwa kula vyakula kutokana na ujuzi mdogo wa kuvipika.Mkuu west africa kule mlenda ndo kila kitu....wanachanganya na samak roast.nyama roaast.kuku...inakua hatar...nilikua nakula sana kwenye migahawa ya wa west africa...london
Sasa mimi siweki nyanya kabisa. Carrot hoho na kitunguu baaasiBimkubwa wangu huwa anaipatia hyo kitu..inakua kama imeiva sana inaungua ungua hiv.na nyanya nying inakua kama na sukar flan aisee ni tamu sanaa
Njugu mawe, Makaroni Kambale, Mbaazi na kundee,bila kusahau mchunga