Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Hayana Radha kabisa Sasa Ni chakula gani kile[emoji2]

kuna mtu aliniletea nilivoyaona nikadhani matamu ila nilivoyaweka mdomoni sikuyapenda kabisa
kingine ni corn flakes nazo hazina radha
 
Naona unaendelea kuukonga moyo wangu. Udenda tayari hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu west africa kule mlenda ndo kila kitu....wanachanganya na samak roast.nyama roaast.kuku...inakua hatar...nilikua nakula sana kwenye migahawa ya wa west africa...london
 
Mkuu west africa kule mlenda ndo kila kitu....wanachanganya na samak roast.nyama roaast.kuku...inakua hatar...nilikua nakula sana kwenye migahawa ya wa west africa...london
Mara nyingine huwa tunashindwa kula vyakula kutokana na ujuzi mdogo wa kuvipika.

Huo ukiwa na viungo hivyo lazima unoge sana!
 
Bimkubwa wangu huwa anaipatia hyo kitu..inakua kama imeiva sana inaungua ungua hiv.na nyanya nying inakua kama na sukar flan aisee ni tamu sanaa
Sasa mimi siweki nyanya kabisa. Carrot hoho na kitunguu baaasi
 
Back
Top Bottom