mimi nachukia sana ugali wa sembe,pilau,wali,chips,nyama,chai yenye sukari na vyakula vyote vilivyokaangwa
Sasa unapenda nini mwenzetu?
mimi nachukia sana ugali wa sembe,pilau,wali,chips,nyama,chai yenye sukari na vyakula vyote vilivyokaangwa
Sipendi ugali,ngogwe na mtindi.
Ngongwe ndo nini?
Ngongwe ndo nini?
sijui ndo wanaita nyanya chungu.
Mi napenda sana soul food.
farkhina, maulid umepika nini?