nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Maziwa ya kuganda ndio yenye kuniletea taabu lakini haya packed hayaniumizi. Soda zinaniumiza na kunipanua mishipa ya kichwa, kulewa na kukosa isingizi.Duuh yoghurt ndo kinywaji changu pendwa!!!! Soda nikinywa hua nasikia kama kulewa fulani.
Ila ndizi mbichi au zilizochomwa zimenishinda kabisaaa..hata upikeje. Sili
Viazi mviringo ile harufu daah
Majani ya maboga jamani ile mboga ikipikwa kama vile unatafuna washawasha dohHabari za Usiku wakuu..
Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi sitaweza kula na sijajua sababu ni ipi..
Je ni chakula Gani Hauwezi kula kabisa na wala kuonja kabisa !!?
Unikakuaje tena mkuu....We Ni mshkaji wangu kabisa ngoja nikukague kesho[emoji12][emoji12]
Kwaiyo vyote vinapita tu kwa upande wako...Mimi hakuma ambacho hakipandi labda upike mchanga
Sipendi Haya manyanya chungu Aisee.Nyanya chungu bilinganya na choroko hata uiunge vipi siwezagi kula.
Nilikuwa siipendi hapo awalj hata sielewi nilianzaje kula ila ikiwa na maharage inakuwa tamu sanaKabeji mmhhhh....
Sijawahi ielewa hata iweje....[emoji848][emoji848]