Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Mimi kazi kazi kila msosi nagonga ila kuna kitu kinaitwa ulojo umenishindwa kabisa napenda sana vyakula vyeti vya bala
 
Huwa nahisi cabbage na garbage ni pacha....tangu utotoni ni tafrani.
 
Makande sipendi ila haikatai nagonga hivyo hivyo nikikuta sehemu japo kwangu ni mwiko kupikwa.
 
Nakula kila kitu
Ila mbozi katoliki is the best.
Sina kinyaa hata chooni nalia tu.
 
Habari za Usiku wakuu..

Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi sitaweza kula na sijajua sababu ni ipi..

Je ni chakula Gani Hauwezi kula kabisa na wala kuonja kabisa !!?
maziwa mtindi, nyanya chungu,
 
mi nakula kila kitu....when i say everything i means or living and nonliving....kikaangwe ..kichemshwe ..kibanikwe..kifanywe vyovyote vile nakula....kitu ambacho kimenishinda kula kula ni sumu tu....
 
mi nakula kila kitu....when i say everything i means or living and nonliving....kikaangwe ..kichemshwe ..kibanikwe..kifanywe vyovyote vile nakula....kitu ambacho kimenishinda kula kula ni sumu tu....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] panya vp
 
Back
Top Bottom