Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Mimi tambi jamani hata zikipikwa na nini siwezi zitia mdomoni
 
Mkuu
Habari za Usiku wakuu..

Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi sitaweza kula na sijajua sababu ni ipi..


Je ni chakula Gani Hauwezi kula kabisa na wala kuonja kabisa !!?
Chips Kuku.,aisee mm sipendi kabisa,,
Nawashangaa sn mnaokimbilia chakula hiki..
 
Back
Top Bottom