Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

Duuh yoghurt ndo kinywaji changu pendwa!!!! Soda nikinywa hua nasikia kama kulewa fulani.


Ila ndizi mbichi au zilizochomwa zimenishinda kabisaaa..hata upikeje. Sili
Viazi mviringo ile harufu daah
Duuh mkuu vitu vitamu ndo hauli kabisa.
 
Jamani hata mimi hizi ishu sijawahi tia mdomoni..sijui mlenda..sijui bamia.sijui biringanya. Sijui nyanya chungu sijui kisamvu yelewiii๐Ÿคง๐Ÿคง๐Ÿคง
 
Bamia, nyanyachungu, kunde,choroko,[SUB]njugumawe,biringanya,mmlenda,big no[/SUB]
 
Reactions: BAK
Karibu vyote vilivyotajwa, nakula bila shida, viungwe kwa mchuzi au vichomwe/ kubanika, ninakula tu.
 
Magimbi na kambare,nikila hivi nakua kama nimemeza doxycillin baada ya kama nusu saa toka kula mwili unakua unachemka napatwa na maumivu ya kichwa kwa mbali then mwisho wa yote natapika involuntarily ndio mwili unakaa sawa.
 
Nakupenda pia hadi naumwa
๐Ÿ˜ Pole mrembo wangu.. usiumwe mama nipo kwaajili yako na nitatibu maumivu yako then nitakupa kile moyo upendacho..๐Ÿ˜‰
 
daah mimi sijaona ambacho hakipandi!! najaribu kutafuta kwenye diary yangu sijaona mpaka sasa
 
Nakula kila kitu...namaanisha kila kitu
 
Reactions: BAK
Hata Mimi soda hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ