Chakula kipi una mzio nacho au haupendi kula kabisa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nyama ya paka, mbwa, mijusi, konokono, kenge, mamba, maduduwasha, chura, nyoka, panya, mende na popo ata uibanike au uichome na barbeque sauce kutoka peponi sitakula.
 
mi nakula kila kitu....when i say everything i means or living and nonliving....kikaangwe ..kichemshwe ..kibanikwe..kifanywe vyovyote vile nakula....kitu ambacho kimenishinda kula kula ni sumu tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mananasi ya kukaanga
Ugali wa ufuta
keki ya bamia
Wali wa mahindi
Miwa ya kuchemsha
Mchuzi wa tikitimaji
 
[emoji23] hebu fafanua hapo kwenye msisitizo....panya, chura, nyoka, popo etc wewe twende kazini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamba nakula
 
Reactions: BAK
Utumbo, Kitabu nk.
Pika chochote then changanya na utumbo. Siwezi kula hata niwekewe nini.

Kongoro na jamii ya kichwa, mkia.
Hata upike vipi siwezi.

Kiukweli siwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…