HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
UONGOSio kwenye shule za kike tuu bali ni almost boarding schools sote na hicho kitu ni cha kitambo mno!
Si shule zote bali shule za kimasikini na zisizojielewa
Boarding miaka 8 shule 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UONGOSio kwenye shule za kike tuu bali ni almost boarding schools sote na hicho kitu ni cha kitambo mno!
Chunguza afya yako vizuri na mara kwa mara kuanzia 55+ yrs. I am talking from a scientific point of view wewe unaleta ushabiki na kujiliwaza hapa.Acha story hizo,ovary zangu ziko vizuri tu na nishabarikiwa madume wawili🙏
Kansa iko kila kona ya dunia, hata huo mchicha na nyanya au majj unayokunywa kila siku ukifuatilia vizuri upo uwezekano wa kupata kansa, sijui ulishachunguza maji unayopikia chakula yanatoka bomba la namna gani?,Subiri. Madhara yake utakuja kuyaona huko mbele ya safari. Kansa nyingi hukua polepole. Kwa hivyo badala ya kujigamba eti hukupata madhara yo yote, jiangalie afya yako hasa ovarian na colorectal cancers 10 - 15yrs from now!
Sawa Dokta ila hayo yalitokea miaka 14 iliyopita🤔Chunguza afya yako vizuri na mara kwa mara kuanzia 55+ yrs. I am talking from a scientific point of view wewe unaleta ushabiki na kujiliwaza hapa.
Tunaelekea kwenye health crisis kubwa sana huko mbele na adui mkubwa atakuwa ni kansa za aina mbalimbali pamoja na matatizo ya figo na moyo. Mafuta ya kupikia yamejazwa kwenye chupa za plastic na kuwekwa juani, mafuta ya taa (a well known carcinogen) kwenye vyakula, mtu hajanywa maji lakini anapiga energy drink hata tatu ili kukata kiu, GMOs...
Ukiendelea kubisha ni sawa. Si umeshazaa madume mawili bana? 😁😁😁🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Ushauri wangu nimeshamaliza mpendwa. Ubarikiwe 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Sawa Dokta ila hayo yalitokea miaka 14 iliyopita🤔
Kipindi nasoma oldmoshi ilikuwa lazima kwenye maharage Lita 2 za mafuta ya taaSio kwenye shule za kike tuu bali ni almost boarding schools sote na hicho kitu ni cha kitambo mno!
Nakubaliana na wewe. Maana hakuna anayetilia maanani haya mambo. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuchukua tahadhari kwa kiwango chake (kama inawezekana)Kansa iko kila kona ya dunia, hata huo mchicha na nyanya au majj unayokunywa kila siku ukifuatilia vizuri upo uwezekano wa kupata kansa, sijui ulishachunguza maji unayopikia chakula yanatoka bomba la namna gani?,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua zamani sana, sahivi class unakuta zaidi ya 40.Thanks ilikuwa ni kwere,afu tulikuwa wachache,pcm tulikuwa 10,pcb walikuwa 11 na hgl walikuwa 15,imagine ndo a level yote,tulikuwa tunajuana hadi majina[emoji1787][emoji1787] sema kipindi Cha welcome form 1 na 5,na siku za joint mass ndio tulikuwa tunainjoi.
Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu wa kike hapo baadaye na sasa yatakuwaje?
Huu utaratibu ni nani alishauri? Kiutalaamu unakubalika?
Karibuni wadau.
Kansa iko kila kona ya dunia, hata huo mchicha na nyanya au majj unayokunywa kila siku ukifuatilia vizuri upo uwezekano wa kupata kansa, sijui ulishachunguza maji unayopikia chakula yanatoka bomba la namna gani?,
Ilikuwa 2007 hiyo🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua zamani sana, sahivi class unakuta zaidi ya 40.
Duuuh hatariiii tupuuu, kweli zamani aseee, wee ni kipangaa dear, maana kuingia pale lazima ubongo uwe unachemkaa.Ilikuwa 2007 hiyo[emoji1787]
Kupunguza mihemkoHaya ya zamani Sana kitalaam sijajua ikoje ngoja waje
Uko sahihi kabisa watu watabishaTumeyatumia sanaaa form one to six ..... usijekuta ndo chanzo cha magonjwa sugu kwenye jamii (kansa/ugumba/kukusa nguvu ya kushiriki uanaum/ke etc)
Nyie watu ni waongo sanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo mafuta ya taa baada ya miaka 30-40 inalegeza tundu la kutolea uchafu hivyo kupelekea kuwashwa na mwisho wa siku kutamani kuliwa "jicho" iwe kwa jinsia ya kike hata ya kiume.
Kemeeni matumizi ya mafuta ya taa kwenye vyakula vya wanafunzi kokote nchini (pinga upinde kwa nguvu zote,)