Chakula kwa siku Tsh 30,000

Umelazimishwa kula nyama
Umelazimishwa asubuhi chai 5000

Kikubwa wewe ni tatizo hujui kupangilia bajet na mkeo nae ni kapongo. Mwanamke mwenye ako na brain 15000 ni asbh mpaka jioni labda itokee Mara moja sana ndo atumie hyo 30
 
Achana na familia ya mke na mume.

Yeye mwenyewe tu aje atueleweshe huo mchanganuo wa pesa hiyo kwa asubuhi mpaka jioni.
Hilo linawezekana kama gesi ipo.
Chumvi na mafuta vipo.

Elfu tatu inatosha.
 
Tufanye familia ya mke na mume tu


Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
Kilo moja ya unga mchana na usiku, 1000/= plus dagaa wa 1000/= nyanya za 500/= 500 ya vitafunwa mkuu!

Nb mafuta, chumvi, sukari sio vya kununua kila siku
 
Hujakosea kuitwa mr devil acha uongo hakuna nyanya inayouzwa 500 unabahatisha sana huko huko unapodai ni rahisi
Huo ndo ukwel arusha vyakula vya kununua sio bei kama unavyo aminisha watu .labda hotel za mjini ila kama una pika kama mtoa mada sio gharama .

me nmekaa arusha more than 5 years [emoji81][emoji81]amna nyanya ya 500? Be serious unique
 
Uwongo huu. ... ukiongeza mchele kidogo, mtaji wa ma ntilie.
 
Kesho kutwa wakiichapaaa usiliee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sisi tulishapita huko.....kuchapiwa ni suala la kawaida sana kwenye Ndoa.
Kulea Watoto wasio wetu ni jambo la kawaida. Ukiwa na umri fulani mambo kama hayo hayakupi shida.
Tatizo ni nyie vijana mnapoamua kubeba stress za wanawake vifuani mwenu...
 
"Michele kilo 2, 6000"! Mkeo anakuibia rudi darasani.
 
Nyama ni robo, au nunua tu maharage nusu, ukipanga vizuri kwa ubahili wa hali ya juu maisha yanasonga mbele.
 
Hiyo elfu 30000 umependa mwenyewe kulingana na Hali Yako ya uchumi,

Kuna watu a day wanaitafuta buku ten tu ,wale na kunywa, hivohivo watoto wawili mke na mume,

Nyama anasa, wanachemsha maharage kilo kama 3500(two days)
Mboga majan 1000
Mkaa 2000
Unga 2000 kilo(mchana na usiku
Chai 3000(kitafunywa+Mkaa wa jero na sukari ya kupima ,maisha hayo
NB maharage ni two days
 
Familia ya watoto 2 mnakula nyama kilo moja na wali kilo 2 kwa siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…