Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Jamaa inaonekana mnakula sana ! Familia ya watu wawili mnakula kilo 2 za Michele kwa siku.?? Mnataka kugundua kitu gani.!
 
hamna muoaji hapa😀🤣, ila acha niendelee kuzi saka.
👉I'll siku Niki taka Dem, ziletwe Picha za watu zaidi ya 200🤣😂🤒
Life becomes so hard if u r exposed before alot of options.
cz u r enforced to make one / some decision(s) out of many..and that is soo annoying for me..to hard
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Kuna vitu hapo huwezi vitumia siku moja vikaisha labda kama mnakula kwa mashindano.
 
Duuh mahesabu ya JF ni kiboko hawa watu waende Bungeni tu naona hesabu za unga wa chapati na karanga sijui Utwiri nimecheka balaa...
 
Huwezi kutumia 30,000 per day Tanzania unless haupo Sawa kichwani
Wenye hela wanatumia braza sio mimi na wewe tena wengine hiyo ni hela ya matunda tuu ya kutengenezea juice home na maeneo wanayoenda kununua chakula ni tofauti sio zile sehemu zangu za niongeze nyanya au nipunguzie...watu wananunua nyanya kwa Kilo wakati mimi nishazoea Nyama ndio inapimwa uzito...
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Kwa hyo wazianzishe kwa kuwa maisha yamekuwa magumu siyo kilamtu anapenda kula nyama kila siku watu wanalima vyakula vyao wenyewee Sasa hbr za unga na maharaga uwezi sikia
 
Hayo ni mahesabu ya familia yangu
sawasawa wewe ni mshua umeletewa mahitaji ya nyumbani ni utekelezaji ndio unaotakiwa kama wamezidisha watajua wenyewe sio kazi yako kujua bei za hivyo vitu kwanza kuna mfumuko wa bei.
 
Nangojea jibu pia
Kwa tunaoishi Manzese au Buguruni ,kuna maharagwe yanauzwa yalikwisha kupikwa na nazi kabisa kibakuli yanauzwa 500.Sasa inakuaje unanua mchele nusu kg sh 1,500 ,mkaa 1,000 unapika wali unaenda unanunu maharage ya 500 Kama hujui basi yale wanayotumi kunywe na chapati asubuhi hiyo jioni kiporo kinachobaki chai asubuhi , mchana kila mtu atajua kwenye mihangaiko yake hiyo tukutane tena usiku
 
Ila mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki

usijilinganishe na YESU mkuu ukiacha kula unatoboka utumbo alafu itabidi ufanyiwe oparation kuziba
 
sisi huku kwetu kijijini zaidi ya kutafuta tu hela ya kusaga mahindi mashineni
hakuna gharama yeyote zaidi ya kupambana na jembe wakati wa Masika unahifadhi mazao yako ndani msimu mzima mpk unavuna mazao mengine
asubuhi ugali , mchana Kande,usiku Kande maisha inasonga
 
Wenye hela wanatumia braza sio mimi na wewe tena wengine hiyo ni hela ya matunda tuu ya kutengenezea juice home na maeneo wanayoenda kununua chakula ni tofauti sio zile sehemu zangu za niongeze nyanya au nipunguzie...watu wananunua nyanya kwa Kilo wakati mimi nishazoea Nyama ndio inapimwa uzito...
Watu wanasema Michele kilo 2 nyiñgi, haya hata ukiondoaa kilo moja ibaki moja umepunguza elfu 3 ambayo inanunua nanasi moja, elfu 30 imeisha
 
Back
Top Bottom