Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
E bwana twende nikachague kama ndio hivyoSome whom I met, naona ni Akili kubwa.
👉And mi sipendi big buts, Akili na na mwenendo ni vipaumbele vyangu🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
E bwana twende nikachague kama ndio hivyoSome whom I met, naona ni Akili kubwa.
👉And mi sipendi big buts, Akili na na mwenendo ni vipaumbele vyangu🤒
Sio haraka hivyo Sasa, SI nasikia Wana sema Bora ukosee kuvaa ila sio kuoa😀🤒E bwana twende nikachague kama ndio hivyo
Kabla ya kuoa na shake well kwanza before useSio haraka hivyo Sasa, SI nasikia Wana sema Bora ukosee kuvaa ila sio kuoa😀🤒
Jamaa inaonekana mnakula sana ! Familia ya watu wawili mnakula kilo 2 za Michele kwa siku.?? Mnataka kugundua kitu gani.!Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
hamna muoaji hapa😀🤣, ila acha niendelee kuzi saka.Kabla ya kuoa na shake well kwanza before use
Life becomes so hard if u r exposed before alot of options.hamna muoaji hapa😀🤣, ila acha niendelee kuzi saka.
👉I'll siku Niki taka Dem, ziletwe Picha za watu zaidi ya 200🤣😂🤒
Nime kuelewa Sana kak🤒, guess Kuna sehemu uli jikwaa🤔Life becomes so hard if u r exposed before alot of options.
cz u r enforced to make one / some decision(s) out of many..and that is soo annoying for me..to hard
Kuna vitu hapo huwezi vitumia siku moja vikaisha labda kama mnakula kwa mashindano.Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Wenye hela wanatumia braza sio mimi na wewe tena wengine hiyo ni hela ya matunda tuu ya kutengenezea juice home na maeneo wanayoenda kununua chakula ni tofauti sio zile sehemu zangu za niongeze nyanya au nipunguzie...watu wananunua nyanya kwa Kilo wakati mimi nishazoea Nyama ndio inapimwa uzito...Huwezi kutumia 30,000 per day Tanzania unless haupo Sawa kichwani
Kwa hyo wazianzishe kwa kuwa maisha yamekuwa magumu siyo kilamtu anapenda kula nyama kila siku watu wanalima vyakula vyao wenyewee Sasa hbr za unga na maharaga uwezi sikiaMaisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Hamna familia ya watu 4 inakula kilo 2 za mchele. Labda kama nyote mmetoka jela juziMichele kilo 2, 6000
Hiiiiii,muongo wewe[emoji3]Mbona mi naishi kwa 700 per day
sawasawa wewe ni mshua umeletewa mahitaji ya nyumbani ni utekelezaji ndio unaotakiwa kama wamezidisha watajua wenyewe sio kazi yako kujua bei za hivyo vitu kwanza kuna mfumuko wa bei.Hayo ni mahesabu ya familia yangu
Kwa tunaoishi Manzese au Buguruni ,kuna maharagwe yanauzwa yalikwisha kupikwa na nazi kabisa kibakuli yanauzwa 500.Sasa inakuaje unanua mchele nusu kg sh 1,500 ,mkaa 1,000 unapika wali unaenda unanunu maharage ya 500 Kama hujui basi yale wanayotumi kunywe na chapati asubuhi hiyo jioni kiporo kinachobaki chai asubuhi , mchana kila mtu atajua kwenye mihangaiko yake hiyo tukutane tena usikuNangojea jibu pia
Ila mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki
Watu wanasema Michele kilo 2 nyiñgi, haya hata ukiondoaa kilo moja ibaki moja umepunguza elfu 3 ambayo inanunua nanasi moja, elfu 30 imeishaWenye hela wanatumia braza sio mimi na wewe tena wengine hiyo ni hela ya matunda tuu ya kutengenezea juice home na maeneo wanayoenda kununua chakula ni tofauti sio zile sehemu zangu za niongeze nyanya au nipunguzie...watu wananunua nyanya kwa Kilo wakati mimi nishazoea Nyama ndio inapimwa uzito...