Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Duh kweli tujipange cio kukurupuka.Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Hii kama kwel lakin!! Ila kwa wanawale wale wenye akiliMnajilisha upepo tuu....30k unajikaba mwenyewe. Mpe wife 10k na chenji utaikuta pamoja na vyote ulivyovitaja.
Mbeya maisha yap chiniUnaishi mkoa gani?
Kwa Mbeya hiyo ni pesa kubwa sana.
elf 3 ndogo kwa kweliHiyo elfu 3 mimi ndio vitafunwa vya breakfast kwa kujibaaana kama siku hiyo watoto hawajaenda shule.
Elf 3 pagumu tuwe wakwel πππ
kwa sisi vilaza?Hii kama kwel lakin!! Ila kwa wanawale wale wenye akili
Achana na familia ya mke na mume.Tufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
tatizo wabongo tunazaa hovyo sana lazima tupigwe na maisha magumu, kabla hujazaa na kuanzisha familia think beyond of your brain.Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Yeah, kiasi kwa Mbeya hiyo pesa pamoja na familia uliyonayo inakufikisha nusu week.Mbeya maisha yap chini
Kwa nyie vilaza haitoshi maana utaitumia hivkwa sisi vilaza?
Naelewa mkuuMkuu mbona hiyo nyingi, mi naishi kwa 700 tu[emoji855]
Maharage na mboga ni anasa ujueKula kwa urefu wa kamba yako...sasa kamba yako inafikia maharagwe na mboga mboga ww unaivuta mpk kwny maini itakatika
Watu wawiliMaisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Hiyo mihogo 24/7 itakuja kuota tumboniMbona mi naishi kwa 700 per day
Amtoboikwa sisi vilaza?
Natafuta mwanamke wa kuoa, sasa nyuz kama hiz ndio interview ya kuwaona..π€£We mrusi wa mchongo tuliaππ€£
Full suitWatu wawili
nyama kilo?mchele kg 2!!!
πππππ hizo egg chop labda nipike mwenyewe za kununua nehinehiKwa nyie vilaza haitoshi maana utaitumia hiv
Maziwa 1,000
Eggchop 2,000
IMEISHAAA.
Arusha!? Kuna ugumu gani...Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
πππππNatafuta mwanamke wa kuoa, sasa nyuz kama hiz ndio interview ya kuwaona..π€£
Wa 4 mkuu.Watu wawili
nyama kilo?mchele kg 2!!!