Chakula kwa siku Tsh 30,000

Hiyo elfu 3 mimi ndio vitafunwa vya breakfast kwa kujibaaana kama siku hiyo watoto hawajaenda shule.
Elf 3 pagumu tuwe wakwel πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu vitafunwa vinakula pesa. Mimi nilicjukua option ya kubake mikate, na mandaz so ni kila baada ya siku 3.
Maana nna familia ya watu wazima watatu na watoto watatu.
 
Kwani bado unapikia mkaa?

Mbona wenzako tunatumia liten tu (10k)!
 
Siyo kweli..ina maana mnakula.kilo nzima ya nyama kwa siku na mchele kilo 2?
 
Nyie mmeshindwa kupangilia maisha yenu kwa hiyo muache kuwatisha vijana,Hizo nyama za kila siku mnafanya mashindano?

Bajeti yako binafsi haina cha kufanya na maamuzi ya vijana kuoa.
 
karoti nyanya na vitu gani sijui umeweka hapo haviwezi fika 5000 wacha ubabaishaji na huo mkaa wa5000 ni debe mnapikia wote kwa siku! wacha zako wewe kisha hiyo chai ya 5000 ni chai gani kwa watu wanne wacha ujanjanjaunja na mchele kilo mbili kwani mnachana mbao?
 
Mia 7 unakula mihogo mi 5 na chai ya 200πŸ˜‚πŸ˜‚..oya Intelligent businessman hapa kiulwel hutoboi hata mchana hufik.
Mihogo inaisha haraka sana tumboni 🀣🀣
Bro chizi ana chekesha ikiwa hatoki kwenu.
πŸ‘‰For real 700 Ina last day kabisa, na hata chai sinywi for realπŸ€’
 
Wewe na mkeo wote mna matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…