Chakula kwa siku Tsh 30,000

mkaa wa tsh 5,000 labda huo mchele uwe wa mawe. Mkaa wa elfu 2 unatosha kuchemsha nyama na kumaliza kupika kabisa.
Viungo vya mboga kwa haraka 1000-1,500
Chai ya elfu 5 nayo hapana.
Alafu kama uhakika wa milo mitatu upo yanini kuipa chai gharama kubwa?
 
Hivyo vingine ni anasa tu
 
Mshahara ??siriyakooo
 
Ukifikilia hayo hutoishi,
..🤷🤷
 
Maisha ni yaleyale

Kilo Michele 2300 unapikwa jioni na chai asb hiyo.

Sukari 3500 inakaa wiki.

Dagaa wengi unachukua kids kids

Nyanya kwa wingi

Tunguska na wese chunv kwa mbali.

Mkaa unaweka na jiko la kuni.

Maisha yanakwenda..ukiona watu wanamagorofa wanalo eneo la kupikia kuni
 
Mnakula chakula kingi sana. Yaani kilo 2 ya mchele kwa siku kwa familia yenye watoto 2?

Ndio maana mmekuwa vipipa!
 

[emoji848] haya mahesabu nimakali mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…