Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Afu tatu mbona inatosha sana per day. Atuangalii tumekula milo mingapi kikubwa ni siku ipite mkono umeenda kinywani.Tufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?