Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nakudanganya eti njoo Arusha kwa mshahara wa 300k lazima utaishi na njaa daily nakupiaLak1 per day..si mchezo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakudanganya eti njoo Arusha kwa mshahara wa 300k lazima utaishi na njaa daily nakupiaLak1 per day..si mchezo...
Kuna unga wa buku kweli acha matani basi . Asubuhi unga na maharage mchana unga na maharage ijioni unga na maharage hakuna nyanya vitungu,viungo,chumvi,mafuta,maji yakunywa ,maziwa ,majani ya chai,so wewe huna familia kisa umelima maharage acha matani bado matunda,nyanya 2 ni buku au elfu mbili,hujaamua ununue kuku wakueleweka 25 to 30Acha uongo mimi hapa olasiti nimelima leshuu na maharage nanunua unga tu wa buku na leshuu mchemsho bila mafuta natumia buku kwa siku.
HUu ni mtego huu.nikipika
mihogo 3 300
chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma
mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
Naamini eti maana unapenda hela sana kuweka umeona mansion ya mwijakuSio naweza, ndo nakulaga hivyo🤒
iphone natumia kimagumashi tu nina miakili nakwambia basi tu😀🙌🏻🙌🏻HUu ni mtego huu.
Mtu yeyote anayetumia iPhone hana mawazo kama haya yenye ushawish mkubwa kias hiki!! 😂😂😂😂
Kwahiyo wanaishije watu wa huko??Nakudanganya eti njoo Arusha kwa mshahara wa 300k lazima utaishi na njaa daily nakupia
Elfu tatu tunadanganyanaUnaishi kulingana na kipato chako mkuu! Kuna watu wanafamilia na wanaishi kwa 3000 kwa siku! Na maisha yanasonga! Hatuwezi kufanana
KabisaElfu tatu tunadanganyana
Oya nipo nje kidogo ya mada ila hiyo username yako ni yakipekeeUnaishi mkoa gani?
Kwa Mbeya hiyo ni pesa kubwa sana.
Nataka zaidi ya ile ya mwijaku🤣🤒Naamini eti maana unapenda hela sana kuweka umeona mansion ya mwijaku
Sawa jipiganie utafika kweli sikuchoriNataka zaidi ya ile ya mwijaku🤣🤒
We pimbi kweli🤣😀😂, twende tanga 😀🤒Natafuta mwanamke wa kuoa, sasa nyuz kama hiz ndio interview ya kuwaona..🤣
I always believe, am gonna make it.Sawa jipiganie utafika kweli sikuchori
Tufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
Ukiwa double utakula.mlo kamili maana utakuwa umeacha utaniMim natumia Kwa siku buku mbili ...
Asubuhi mihogo 500 na maji
Mchana ugali dagaa 1200,maji mengi
Jioni ....karanga za 300
Mkuu unaishi uchumi wa buluu😁Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
Wakitajiri na huku boda boda kasema hata kwake anatumia pesa hivyoo kwa siku njoo huku mwayaMkuu unaishi uchumi wa buluu😁