Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Acha uongo mimi hapa olasiti nimelima leshuu na maharage nanunua unga tu wa buku na leshuu mchemsho bila mafuta natumia buku kwa siku.
Kuna unga wa buku kweli acha matani basi . Asubuhi unga na maharage mchana unga na maharage ijioni unga na maharage hakuna nyanya vitungu,viungo,chumvi,mafuta,maji yakunywa ,maziwa ,majani ya chai,so wewe huna familia kisa umelima maharage acha matani bado matunda,nyanya 2 ni buku au elfu mbili,hujaamua ununue kuku wakueleweka 25 to 30
 
nikipika
mihogo 3 300

chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma

mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
HUu ni mtego huu.
Mtu yeyote anayetumia iPhone hana mawazo kama haya yenye ushawish mkubwa kias hiki!! 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom