Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Huyu jamaa kutochukulia mambo siriazi ndio kumemponza, Wakati yeye akili yake ikimtuma anafanya comedy, huku Sisi tunachukulia anamaanisha
 
Huyu jamaa kutochukulia mambo siriazi ndio kumemponza, Wakati yeye akili yake ikimtuma anafanya comedy, huku Sisi tunachukulia anamaanisha
Mtu mzima anaongea we unasema comedy, yupo serious, hakuna Raha ya mtu anayejitambua kuongozwa na kivuli badala ya mtu husika. Hatuna Raisi mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…