Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Mr Sir1

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
1,749
Reaction score
7,945
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.

Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.

Uwezo wa fikra ni mdogo mno.

Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
 
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kaz...
Kuna mtu kamuomba mama ,Chalamila awe mkuu wa mkoa wa Dsm.Ipo siku huyo mtu akifa Chalamila atasema.Lakin sio kuwa Chalamila anaweza kuwa kiongoz mzuri mpaka kupewa Dar.
 
Watu wa Dar mnaona kama ndiyo Tanzania
Nchi sasa iko Dodoma
 
Wanaume wa Dar mlivyo wajinga na wapumbavu, nani ashindwe kuwaongoza?

Wanaume waoga waoga mnalazimishwa kulala mapema na panya rodi sembuse kuongozwa na yeyote?
Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.

Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
 
Back
Top Bottom