Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Dar pazuri Wewe.. Karibu Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unachuki binafsi na dar, yan hata ufanyaje hizo sehemu ulizotaja huwez kufananisha na dar hata kidogo, na wala hapawez kubadilika sababu tu umesema acha ujinga na acha upumbavu, we hujiuliz kwanini ma giant wote wa hii nchi wapo dar? Alafu hivyo vibandar vingine vyote ulivyotaja na sijui sirali sijui mombasa bado ni vidogo kwa bandari ya dar es salaam, TANZANUA MIPANGO YOTE INAANZIA DAR, hata hilo jina la kanda maalumu kwenye hii nchi lilitungiwa dar, kila unachokiona mikoan kubwa yake iko dar, sikupanga mimi mkuu ni nature ndio ilipanga, hata nani awe raisi wa hii nchi mipango inasukiwa dar, hizo chuki hazikusaidii kitu mzee huu ndio ukweli mchungu, kwenye hii nchii huwez kukwepa dar hata uwe tajiri kama Mo..Acha ujinga kwahiyo Tanga na Mtwara hakuna bandari? watu wakanda maalum mizigo yao mingi inapitia Sirari kupitia Mombasa Port.Endelea kukalili na Dar yako watu wapo njombe,Iringa,Tunduma na Mpanda wanapiga pesa.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Dogo mkoan ndo tunawalisha wamama wa mjini nyieunajitekenya na kucheka mwenyewe.
unaongelea viazi na mchele, ukute humiliki hata bustani ya mboga. Umeshiba viazi vitamu vya kuchemsha msaada wa wazazi unauja kushupaza fuvu hapa.