swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Watu wa Dar es salaam sijui huwa mnajionaje yaani ni kama ninyi mnatoka nchi nyingine tofauti na Tanzania, kama kaongoza wanachi wa Mbeya, Mwanza, Kagera ninyi mna tofauti gani na hao Watanzania wa hiyo mikoa? Acheni ulimbukeni.. kama mliongozwa na Makala kwa nini Chalamila asiwaongoze kwanza Makala anaingia mara 100 kwa Chalamila.